Kwanini Origino Comedy / Ze Comedy Show walitolewa EATV na TBC1 ?

Halafu vichekesho vyake hua vime-base kwny mambo ya shule tu especially vituko vya mambo ya shule ya msingi&secondary tu.
Kwa Tanzania, wachekeshaji walikuwa wale jamaa wa Jambo na Vijambo. Walikuwa na full package yaani hawakulazimishi kucheka ila utacheka, na pia wanatoa na uelimishaji (ujumbe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saivi nao hawasikiki tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wamekumbwa na nini kwasasa ila naona tu katika kipindi hiki cha janga la virus vya corona wamerudi kwaajili ya kutoa elimu juu ya janga hili. Wapo Azam kwenye channel ya Sinema zetu katika kipindi cha Al Kasus lakini wamejikita tu kwenye uelimishaji wa virus vya corona

Nimeona tangazo lao soon wataanza kuonekana wasafi tv

Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
 
EATV walishindwa kutokana na Maslahi. Pesa waliyokuwa wanaingiza na walivyokuwa wanalipwa ikawa tofauti, Seki mtoto wa mjini akaona aangalie fursa kwingine. Tido akawadaka akawalea akamfikishia Mkwere, Mkwere akamwambia wewe nimekuchagua uwe Mkurugenzi, hilo lipo chini yako kama watakuwa na tija. Akawachukua Tido, akawapa Maisha, alivyoondoka mzee ikaisha.
 
Back
Top Bottom