Kwanini Origino Comedy / Ze Comedy Show walitolewa EATV na TBC1 ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Sote tunakumbuka enzi za Ze Comedy Show - EATV na Origino Comedy - TBC1! Kwakweli waliteka watu sana.

Ilifikia hatua mtu anaacha kupika mpaka kipindi kiishe ! Yaani mtu unawahi nyumbani kwenda kuangalia kipindi cha Ze Comedy Show ukiwa na familia yako.

Siku hizi TBC1 wanahangaika na MC Pilipili japo havutii kabisa.Anacheka cheka tu.

Kwanini Ze Comedy ilitolewa EATV , Origino Comedy ilitolewa TBC1 ? Ni issues za maslahi au siasa ?

Siku hizi Masanja yupo busy na mpunga !
 
Ivi MC pili pili anachekashaga au anajichekesha mwenyewe???

Izoo comedy zake nikiangalia badala nicheke anacheke yeye Sasa unajiuliza yeye Ni mchekeshaji au mchekeshwaji.
Halafu vichekesho vyake hua vime-base kwny mambo ya shule tu especially vituko vya mambo ya shule ya msingi&secondary tu.
 
Halafu vichekesho vyake hua vime-base kwny mambo ya shule tu especially vituko vya mambo ya shule ya msingi&secondary tu.


ananafasi Nzuri yakukuza comedy Tanzania lakini nafasi anaichezea...

Comedy niliamiaga Churchill MCA tricky huyuu Ni kichwa Sana anakuchekesha mpka unasema hi ndo comedy. Sio mtu anaruka ruka nakucheka cheka anasema Ni comedy.
 
Wakiwa EATV kuna yule alikuwa anamuigiza mrema akiwa mgonjwa! Yaani ugonjwa wa mrema yeye aliugeuza kichekesho!! ..mzee wa watu mrema akamshtakia mungu na dua yake ikajibiwa!! .. hivi keshatoka ICU?
 
Back
Top Bottom