EATV waja na ze comedy search

nronga

Member
Jan 20, 2010
22
1
Wadau nasikia EAST AFRICA TELEVISION wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy karibuni, lakini watafanya search kwanza....mnaonaje hii wadau? EATV wataweza kutukimbiza nyumbani tena kuwahi kipindi?

Wabishi na walioita habari yangu ya kiswahili ...EATV hawawezi..i hope mtameza maneno yenu...angalieni EATV muone promo ya Ze Comedy SHOW...RESPECT MAWAZO YA MWENZAKO

NAWAKILISHA!
 
nronga Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png

green.png

green_right.png
Join Date: Wed Jan 2010
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts

wewe umetumwa sio bure....

nachukua fursa hii kukufahamisha hii ni nyumba ya wenye nazo upstairs

so jipange kabla ya kuwasilisha sawa mkuu....amani iwe nawe!
 
Wadau nasikia EAST AFRICA TELEVISION wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy karibuni, lakini watafanya search kwanza....mnaonaje hii wadau? EATV wataweza kutukimbiza nyumbani tena kuwahi kipindi?

NAWAKILISHA!
1.Piga hodi kwanza...umeingia chumbani kwa mtu na kumkuta hajavaa..huh!

2.Hiyo habari yako NI YA KISWAHILI ZAIDI, na wala haiingii kichwani kwa mtu yeyote!

3. EATV+TBC1=MOTO +PETROLI...believe me!
 
Kwanza ningependa kuomba msamaha kuvamia tuu bila salaam,ni matumaini yangu wadau mtanikaribisha na muweze kujadili issue yangu niliyowakilisha....
na ninapenda kuwaambia wadau siyo ya kiswahili kama ulisoma gazeti la Nipashe last week ungeona tangazo la EATV linalo sababisha tetesi hii
 
gone was the days of channel 5 comedy. now, futuhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
1.Piga hodi kwanza...umeingia chumbani kwa mtu na kumkuta hajavaa..huh!

2.Hiyo habari yako NI YA KISWAHILI ZAIDI, na wala haiingii kichwani kwa mtu yeyote!

3. EATV+TBC1=MOTO +PETROLI...believe me!
Uzushi huo, kwani post zote za humu zina salamu
 
jamani hapa ni jamvini kila mtu ana uhuru wakujieleza kulingana na uwelewa wake na ss tujibu kulingana na uwelewa wetu peace to alll
 
jana nilivyo weka hii habari wadu walisema ni ya kiswahili! sasa sijui mtasemaje? matangazo yanarushwa EATV tayari mbona?
 
Uzushi huo, kwani post zote za humu zina salamu

Join Date: Sat Aug 2009
Posts: 16
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0

Huyu ndo ww? r u sure ur in the right site....think abt tht!
 
Zion, unataka kutuambia nini, hatuhusiwi kuweka issues hapa? wewe hauna tofauti na viongozi wa Africa au wabunge wa ccm wanao wania uongozi maisha yao yote. Kwa sababu umekaa around/ post more topics on this forum, u think u can judge other people. Changia topic if you cant kaa kimya
 
Wadau nasikia EAST AFRICA TELEVISION wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy karibuni, lakini watafanya search kwanza....mnaonaje hii wadau? EATV wataweza kutukimbiza nyumbani tena kuwahi kipindi?

Wabishi na walioita habari yangu ya kiswahili ...EATV hawawezi..i hope mtameza maneno yenu...angalieni EATV muone promo ya Ze Comedy SHOW...RESPECT MAWAZO YA MWENZAKO

NAWAKILISHA!

Jifunze kueleza wewe!
Ukisema wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy bila kuweka sawa unamaanisha ..akina JOTI&MPOKI ET AL!
Sema kwamba wanatafuta watu wa kuunda kundi jipya la Ze cOMEDY!
MBONA NI KITU KIDOGO TU, UNAJIUMAUMA NINI?
 
Uliweka kwa jina gani, maana nikicount una post nne na hii ndiyo ya kwanza
 
Jifunze kueleza wewe!
Ukisema wanakirudisha kipindi cha Ze Comedy bila kuweka sawa unamaanisha ..akina JOTI&MPOKI ET AL!
Sema kwamba wanatafuta watu wa kuunda kundi jipya la Ze cOMEDY!
MBONA NI KITU KIDOGO TU, UNAJIUMAUMA NINI?
bra PJ mbona Jumapili ya leo umekuwa mkali sana? I can see your new move. Keep it up bra, turekebishe pale tunapokosea
 
Huyu ni kwamba anazidi ku'edit ileile thread yake ya mwanzo...kuku mgeni huyu, mbishi ka dagaa!..huh!

ahsante kwa rekebisha, na kuelewa post yangu, watanzania ndiyo sababu atuendelei kutokana na watu kama wewe,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom