Shilawadu mnaelekea kaburini kuna la kujifunza toka kikundi cha ze Comedy ya Masanja


kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,255
Likes
2,411
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,255 2,411 280
Miaka ya zamani kidogo Kikundi cha ZE COMEDY cha kina Masanja -mkandamizaji na wenzake kilikuwa na umaarufu na hata kupita baadhi wasanii wa muziki wa dansi, bongo fleva na hata bongo movies. Walikuwa wakipata mialiko mikubwa ya pesa ndefu kwenye sherehe, mikutano na majeshini kwenda kutumbuiza watu.

Kuna Kipindi Masanja alikuwa maarufu mpaka alikuwa hawezi kutembea mitaani hovyo bila ya walinzi na alijaribu hata kugombea ubunge katika jimbo moja huko nyanda za juu.Umaarufu wa ZE COMEDY ulianza kupungua baada ya kuanza kufanya vichekesho vya upande mmoja, kufurahisha wakubwa, kulewa sifa na kujiingiza kwenye siasa au kukubali kutumiwa na wanasiasa.

KIPINDI CHAO CHA SAA MOJA USIKU ENZI HIZO KILIKUWA MAARUFU KULIKO HATA TAARIFA YA HABARI.

Kipindi cha SHILAWADU ingawa nao walianza kwa kasi lakini naona wanaanza kuelekea kaburini.Kama SHILAWADU ni kuhusu umbea ni kwanini umbea mwingine wanaogopa kusema ,kwaninini siku hizi kila umbea wanaosema wa msanii unafuatana na kutambulisha wimbo mpya wa msanii, ina maana sio umbeya tena ni vitu mnapanga kabla, matangazo yamekuwa mengi na mmebakiwa na vitu viwili tu ni HAMISA MOBETO na DIAMOND.

Hata leo najua MAPOVU NI HAYO TU na mtakuwa mnaandaa msanii wa kutambulisha ngoma mpya baada ya kutunga skendo, hivi ile ya zamaradi na Ruge mbona ahtukusikia mapovu!!!

KUWENI MAKINI mnaelekea kubaya
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,255
Likes
2,411
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,255 2,411 280
JO
Kwakweli wanajisifu kuifunika friday night live ,lakini naona wataondoka FNL wataiacha km walivyoikuta.
Umbea wa kuokoteza ,na unaupata baada ya kuchoka na matangazo yasiyoisha.

Samahan Josevert
JOSEVERT bado atakuwa kwenye mitihani ya form four. Hujasikia Waziri kasema bila ya cheti cha form four hakuna kuolewa.Ukioa wa bila cheti kifungo ni miaka 30!! kuanzia saa saba utamuona hehe
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,255
Likes
2,411
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,255 2,411 280
Ivi naomba kuuliza, kuna wanaume wanakaa kabisa kukodolea TV macho kuangalia hiki kipindi? mimi huwa nakisikia tu
Vyuma vimebana wakati mwingine vipindi kama hivi vingekuwa vizuri vingekuwa kama grisi ya kulainisha vyuma
 
gwa myetu

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
4,356
Likes
4,375
Points
280
gwa myetu

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2014
4,356 4,375 280
JO

JOSEVERT bado atakuwa kwenye mitihani ya form four. Hujasikia Waziri kasema bila ya cheti cha form four hakuna kuolewa.Ukioa wa bila cheti kifungo ni miaka 30!! kuanzia saa saba utamuona hehe
Hahahahahaha ila sijui Uwoya anacho?
 
gwa myetu

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Messages
4,356
Likes
4,375
Points
280
gwa myetu

gwa myetu

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2014
4,356 4,375 280
!
!
Sio wanaelekea ndio washafika mkuu. Wako kaburini tayari bado kuzikana. Friday night live wapunguze ile tumekuja chokozaaa content iwe kubwa zaidi
Hahahaha tume ..tume..tumekuja chokozaaaa ahaaa ,ukiwa na sabufa la mchina jipya goma linadunda balaa
 
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
2,867
Likes
3,989
Points
280
Jiwedogo

Jiwedogo

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
2,867 3,989 280
JO

JOSEVERT bado atakuwa kwenye mitihani ya form four. Hujasikia Waziri kasema bila ya cheti cha form four hakuna kuolewa.Ukioa wa bila cheti kifungo ni miaka 30!! kuanzia saa saba utamuona hehe
Khantwe ebu fanya ukuje pandehii...
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,344
Likes
5,472
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,344 5,472 280
Hahahaha tume ..tume..tumekuja chokozaaaa ahaaa ,ukiwa na sabufa la mchina jipya goma linadunda balaa
!
!
Tangazo linawachukulia muda mkubwa sana lile. Kila saa wao wamekuja chokozaa
 
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Messages
7,144
Likes
8,399
Points
280
titimunda

titimunda

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2014
7,144 8,399 280
Ife tu,haina tija yoyote kwa jamii.na kama mleta uzi ni mwanaume inakupasa ujitathmini upya.
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
114,229
Likes
496,502
Points
280
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
114,229 496,502 280
Hichi kipindi kilinishinda zaman,umbea wote wa kuokota insta. Robo tatu ya kipindi ni matangazo na muziki. Hapo sijawah angalia mwanzo mpaka mwisho.
 
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Messages
1,246
Likes
879
Points
280
Mr Cu

Mr Cu

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2016
1,246 879 280
Ivi naomba kuuliza, kuna wanaume wanakaa kabisa kukodolea TV macho kuangalia hiki kipindi? mimi huwa nakisikia tu
Mkuuu kipindi pendwa hapa town kwan ujui??????
 
Siafu na Manga

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
2,528
Likes
7,938
Points
280
Siafu na Manga

Siafu na Manga

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
2,528 7,938 280
Mkuuu kipindi pendwa hapa town kwan ujui??????
Sio kweli kuwa ni kipindi pendwa usihalalishe kwa watu wote tafadhali..
 

Forum statistics

Threads 1,250,460
Members 481,354
Posts 29,734,116