Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Mi naona hapa sio kujishusha ni kukosa Moyo was shukrani.Kujishusha sana sio sifa njema.
Sasa mkuu, kama wewe unajidharau ni nani atakuheshimu?Tatizo wabongo wanadharau Sana. Hawana appreciation kabisa.
Bongo wanapenda anayejishusha Mkuu la sivo utaonekana unaringaSasa mkuu, kama wewe unajidharau ni nani atakuheshimu?
Hakika friend. Upo sahihi. Tujifunze kushukuru katika kila hali.Mi naona hapa sio kujishusha ni kukosa Moyo was shukrani.
Mungu hapendi kujishusha sana.Bongo wanapenda anayejishusha
Sawa mkuu. Asante pia kwa kusoma.Asante kwa ushauri mkuu.