Katika hali ya kawaida ungekuwa wewe ungetaifisha kwa mfano jengo au shule ambayo ipo ndani ya mazingira ya nyumba ya ibada? Kibasila secondary ya dsm ilikuwa ikiitwa st xavery... Ilitaifishwa na kulikuwa hostel ya kiume pale shule na za kike zilikuwa kule kanisani... Kwa hostel ilichukuliwa ile ya kiume tu ile ya kike sababu ilikuwa pale kanisani chang'ombe ikaachwa....Ukiyaangalia mazingira hayo utapata jibu.Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
hata rais wako/wetu JPM ambaye pasi na shaka ndio rais bora zaidi kwa sasa ktk ukanda huu wa afrika mashariki.naye pia alipitia seminary na tena alitaka kuwa padre.kwa maelezo zaidi tafuta CV/historia yake.We ukiangalia majipu meengi kama hawa kina kitilya tibaijuka chenge the list is long woote ni vibaka kutoka seminary
Mtoa ameuliza seminari za Kikatoliki (na sio shule za kawaida za kanisa, sijui St. Francis=pugu n.k)
Nadhani ni only Tambaza.... I stand to be correctedHivi waislam walikuwa na chochote cha kutaifishwa? (Innocent question)
Hawa wanavaa sutu na kuongea kingereza, sidhani kama wavaa kandambiri wanawahesabu kama ni waislamu wenzao. Agha Khan mwenyewe anaishi Paris Ufaransa.Ndio walikuwa navyo, Tambaza, Azania Kisutu na Zanaki zilikuwa za Waislam (Aga Khan Muslim) nadhani pia walikuwa na shule Mwanza na Musoma zilizotaifishwa
Mkuu nimekuelewa...lakini je,Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
Ninao ndugu zangu ambao walisoma huko hivyo nina uhakika na ninachiokisema.Shakidinkili Theolojia inafundishwa Seminari Kuu tu,huku chini ni elimu dunia tu,na kwa huku chini walimu si lazima wawe mapadre na mabruda.Hata walei pia hufundisha
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
Swali zuri sana.Hivi waislam walikuwa na chochote cha kutaifishwa? (Innocent question)
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
kwani alitaifisha madrasa pia?Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya seminari na shule zingine za sekondari...Seminari ni shule maalum ambazo pamoja na kufundisha elimu/masomo ya kawaida pia zinawalea vijana ambao baadae huwa mapadre...Kuna junior seminary na Major seminary...Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.