Malilambwiga
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 485
- 296
Mtoa mada inaonekana hujui historia ya nchi na pia hujui Azimio la Arusha
tuliza mshono kijana acha kiherehereHivi St. Anthony's Sec. School - Mbagala vs Nyegezi Seminary (Mwanza) au Maua Seminary ni sawa? Watanzania wazito mno kuelewa aisee ndo maana wakenya wanatudharau jitu halijui tofauti halafu linakuja kujamba jamba tu. Daah hivi mkoloni si alipata kazi sana kututawala? na JPM kweli atawaweza hawa mamburula!!!
umenikumbusha mbali mkuu......Kwiro mbona zilitaifishwa
hizi shule zimekufa siku hizi........Pugu Sekondari, Minaki, Tosamaganga, Forodhani (St. Joseph ya sasa), Ndanda High school n
kwahiyo wewe unajijuamimi nimepita seminari lakini ni mshenzi tu wa tabia
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
Umeona majibu tuliyokupa lakini? Au niulize umesoma tulichokujibu?Wagalatia mna tabu sana nyie.. naona hata magazeti siku hizi ni stori zenu tu.
Watanzania ni wavivu kufikiri, mtoa mada kauliza kwa nin SEMINARI za KATOLIKI hazikutafishwa mtu anakuja kusema zilitaifishwa ikiwemo Forodhani? Really? Forodhani ilikuwa SEMINARI toka lini? TOFAUTISHENi SEMINARI vs SHULE ZA KAWAIDA ZA KANISA> Takbiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................
Na wadau wamemjibu hivi, Seminary anazouliza yeye ndio vituo vya kuandaa mapadre watalajiwa mfano kama Segerea seminary Dar es salaam, sasa na yeye atueleze ni kwa nini Nyerere hakutaifisha Hizi so called Madrasat? Ujinga huu.Mtoa ameuliza seminari za Kikatoliki (na sio shule za kawaida za kanisa, sijui St. Francis=pugu n.k)
Lengo lake halijatimia, founder wa imani yake he was a violence man, kwao peace and love ni msamiati usiokuwa na mashiko kwao.Umeona majibu tuliyokupa lakini? Au niulize umesoma tulichokujibu?
Waswahili hukurupuka tu. Yaani mtu hadi leo hajui kuwa shule nyingi za Serikali zilikuwa za mission nyingi ni seminari za wakatolikiMswahili daima hana shukrani. Ungependa afanye nini pamoja na kuchukuwa taasisi zoote hizo pamoja na za kanisa Catholic? !. Kweli mswahili balaa
kinyume cha mswahili ni mzungu, wewe uko kundi gani hapo? Hebu tuwekee pua yako tuitathmini!Mswahili daima hana shukrani. Ungependa afanye nini pamoja na kuchukuwa taasisi zoote hizo pamoja na za kanisa Catholic? !. Kweli mswahili balaa
Jamani eeeh, mweleweni huyu mleta mada anataka kujua kwa nini zile shule zinazoandaa mapadre hazikutaifishwa? Hataki kujua hizo zingine ambazo zilikuwa za kawaida kama hizo ulizozitaja. Hapa amazilenga Makoko seminary, Kipalapala seminary, Ntungamo seminary, Kibosho seminary, Nyegezi seminary n.k.Kigonsera high skul, Pugu boys ni mifano ya zilizoingia mikonon mwa serikali... ziko nyingi tuu