Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Kwanini Nyerere hakutaifisha seminari za Katoliki?

Status
Not open for further replies.
KUTAIFISHA SEMINARI NI SAWA NA KUTAIFISHA MADRASA... WAKATOLIKI WANAANDAA VIONGOZI WAO TOKA NGAZI YA CHINI.. SEMINARI NI SHULE ZAO ZA KUANDAA MAPADRII.. Kama kuna kanisa lilitakiwa kulalamika ni kanisa katoliki kwa sababu ndio waliotaifishiwa taasisi zao nyingi kuliko dini na dhehebu lolote... MASHEHE NA MAUSTAFI FEKI AMBAO WAMEKOSA ELIMU DUNIA NA AKHERA WAMEPANDIKIZA CHUKI KUBWA SANA KUHUSU NYERERE.. Amini na kwambia kama si Nyerere hali ya waislamu wengi TZ ingekuwa mbaya sana kuliko sasa.. WAGUMU WA KUCHANGIA MAENDELEO YA MIRADI YAO... Na hili lote lililetwa na utamaduni wa waarabu.. WATU WAMESHINDWA KUTOFAUTISHA DINI NZURI YA KIISLAMU.. na utamaduni wa kishenzi wa waarabu
 
Watu au wenye kuiamini hiyo dini?
 
...hivi huyo katani kamba huwa ni mmeo??, mbona huwa anaandika matamauluku (maana mashudu huwa tunalishia nguruwe zetu watamu) tu na yeye, nahisi hata hana elimu, labda ya kule madrasatul sijui nini.

mdomo wako hautofautianii sana na kile choo cha Azania front.hata ule mwili wa yesu mara ngapi kwamwe ladha yake hutoskia.
 
halafu huyo mgalatia hapo juu anakuja kumwaga mapovu yanayonuka akisema eti hajali majina bali anajali ujumbe!
Sasa akitokea.mlevi anaitwa chamtemamoto akaanza kutumwagia uharo wa kusema yeye ni nabii!

povu linalonitoka mimi ni dawa kwako, chukua unywe upone!

Nikiarisha ni chakula kwako chukua ule hicho nilichoharisha upate kuwa hai na kuishi milele.
 
Hiyo hapo (Tosamaganga Secondary) kwa mbele linaonekana KANISA ilikua ya Katoliki na sasa ni ya Serikali.
attachment.php
 
Pimeni maneno mayolishwa na mashehe. Shida kubwa ya jamaa zetu hao hawakukazana na elimu dunia by then ili matunda yake yaonekane sasa. Na hakuna wa kulaumu. Ukilaumu nyerere utakuwa unainyesha ulivyo kilaza. Miaka yote elimu yetu baada ya uhuru imekuwa huru tu. .. ukiangalia sana kutoka maeneo haya ya Mombasa zanziber hadi pwani huku mpaka maeneo fulani ukanda wa Tanga kumekuwepo na hali fulani ya umwinyi iliyopandikizwa ujio wa waarabu ambao kimantiki hawakuwa muamko wa elimu. Hii hali ikarithiwa na waislum wengi na kutotaka mahangaiko ya elimu dunia. Na kweli bila kambarage ujinga wa kukosa elimu ungekuwa mwingi sana. Nyerere akaanza ku- equalize elimu ikawasaidia watu wote. Na sasa hakuna cha mkristo wala mwisilamu ni bidii yako. Na kwa kweli kwa sasa waisilamu hasa mashehe acheni kulisha kizazi cha sasa maneno yasiokuwa na msingi jitahidini kwa pamoja mpeleke watoto shule, jengeni mashule acheni kulilia tu mnaonekana kama wenda wazimu. Kwnn matajiri katika upande huo mfano.. akina Rostam, Bakresa, Mohammed Enterp, A bood na wengine wengi hawajengi mashule nk.. katika maendeleo yenu mnayodai... Hawawezi.. kwa kuwa kosa si Nyerere ni wakubea zenu wale. Waarabu .. ni biashara na umwinyi ndo urithi waliacha pamoja na kuwasisitizia msije mkaacha lugha yao hata kama haieleweki kwa baadhi yenu... Ache kulalamika Tekelezeni ..
Lkn isiyo
.. sheria ya kukata vidole
 
yaani ukiishaolewa na muhamadi unaobdokewa uwezo wa kufikiri. We endelea kushinda kwenye bao na kutafuna kashata........pengine hapo ulipo uko tayari kwa kujulipua ili uende peponi.

we koma kumuongelea mtume, kama unalakumshauri we mshauritu lakini kutukana siyo vzuri!
Uwe mstaarabu tena ujiheshmu. Kwa taarifa yako uislamu umejengwa kwa sheria ya mungu hivyo chunga sana,
 
mdomo wako hautofautianii sana na kile choo cha Azania front.hata ule mwili wa yesu mara ngapi kwamwe ladha yake hutoskia.

....sawa mrs. sisal, tetea ndoa yako, maana naona mr. Kaweka like, teh.
 
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
NB:
Ieleweke si kila shule inayomilikiwa na katoliki ni Seminari (mfano; St. Francis High School = sasa Pugu Sec. hii haikuwa seminari per se).
Chemsheni bongo msitoe majibu laini laini kama kawaida ya watanzania, hii sio kipima joto cha ITV kubwabwaja utumbo hapa ni "pweinti" tu zinatakiwa.
 
Mswahili daima hana shukrani. Ungependa afanye nini pamoja na kuchukuwa taasisi zoote hizo pamoja na za kanisa Catholic? !. Kweli mswahili balaa
Mbona tangayika haswa taasisi nyingi zilikuwa za dini na historia ipo mdau angetafuta kidogo tu angepata taarifa zote.. Shule karibia zote za enzi hizo zilichukuliwa toka taasisi za dini.. Lakini pia mdau naona kama ana swali/dukuduku lingine nyuma ya swali lake alimwage tu uwanjani.. Waswahili ndo tulivyo
 
seminary ziko kanisani, kutaifisha seminary ina maana angechukua na kanisa. Ila zilizokuwa nje ya kanisa zilitaifishwa. Shule nyingi za middle school zilikuwa zawakatolik na zilichukuliwa. Kama Pugu umetajiwa St mary's siku hizi mnaita Tabora girls na boys. nk.
 
Mleta mada inaonekana hauna hata utafiti, halafu hata hujui historia ya nchi yako, pia nina mashaka Sana na uelewa wako, pia utakuwa ni mtoto mdogo, uliye zaliwa miaka ya tisini, pia udini unakusumbua, huwezi kuibua mada bila kuwa na utafiti wa kutosha, hivi na wewe ni greater thinker? Hata azimio la arusha hulifahamu wewe na hakika, umerukia maada hii si saizi yako.
 
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.
Kigonsera high skul, Pugu boys ni mifano ya zilizoingia mikonon mwa serikali... ziko nyingi tuu
 
Ningekuelewa kama ungeuliza shule za kanisa Katoliki kama Kifungilo girls ya Lushoto Tanga na Kibosho girls ya Kilimanjaro kwanini hazikutaifishwa?
 
Kufuatia Azimio la Arusha serikali ilitaifisha taasisi ikiwemo hospitali, vyuo,majengo n.k. vya watu binafsi na mashirika ya kidini. Lakini shule za seminari za Kikatoliki hazikuguswa nini sababu hasa?mwenye kujua naomba msaada.

Hii mada yako ukiitafuta humu jf unaipata na maswali yako yameshajibiwa humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom