Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Mwaka huu mpaka kufika 2015,kazi ipo!Waandishi wa habari wawe waaminifu kutujuza mambo kama haya hasa kwa watanzania ambao hawawezi kupitia social media kama hizi!
Tujiulize muheshimiwa yeye ni wakusingiziwa tu kila kitu na kukaa kimya,mbona atakuwa anaonewa sana kama anavumilia haya yote,ajibu hoja hizi maana watanzania bado tunaamini utendaji wake wa kazi tujue moja 2015!
!Biashara asubuhi!
 
waziri mkuu kwa kipindi kifupi aliyefanikisha mambo mengi kuliko wengine....wengine wasingeenda shule bila kayumba....Pesa mnazozisemea karibia mmezigawana wote..... Let's go E.N Lowa
 
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.

Shule gani kaka,mbona unaanza kutudanganya wakati JF ina wasomi wengi?kama ni hivo then somo la historia halina faida mashuleni mana ni zaidi ya miaka 10.

Think before u say
 
Hata Nyerere naye alikuwa hafai kuwa kiongozi,,, alitesa Sana wapinzani wake na wengine kuwaweka vizuizini huku wengine wakipotea bila taarifa hadi leo habari zao hazipo. Kwa mujibu wa Mohammed Babu, alisema Nyerere aliwahi kumzika mtu akiwa hai, tena huyo mtu akitokea Zambia alikuwa mpinzani wa Kaunda....
Lakini Nyerere huyu huyu alitoa elimu bora bure, afya bure, alijenga viwanda, rushwa ilikuwa mwiko Enzi za utawala wake

Nyerere alikuwa na mazuri na mabaya yake kama ilivyo kwa Lowassa

Ulukolokwitanga unaushahidi na hayo uliyosema?
 
Watanzania wa leo tunajua.Swala la RICHMOND lilijulikana na baraza zima la mawaziri na hata kikwete aliliridhia.Chuki za watu wachache kama Sitta na wenzie baada ya kuukosa uwaziri mkuu ndio chanzo.Na kama Lowassa asingekubali kujiudhuru Serikali nzima ingetoka na ungeitishwa uchaguzi mpyaHebu niambie ukimuondoa SOKOINE kuna waziri mkuu gani atakumbukwa na vizazi vya nchii kama sio Lowassa?Au unadhani Pinda anaye lia lia hovyo ndio anafaa?
 
Alafu unafiki mwingine ni mbaya sana.Hivi Nyerere ni Mungu?Inamaana hakuwahi kukosea.Kwa hiyo kama nyerere alimchukia mtu basi wote tumchukie mtu huyo?Acheni kushikiwa akili nyie
 
Tusidanganyane,kwani hatuchagui rais wa nchi yetu aliye malaika ! Mwl.Julias K.Nyerere hakuwa nabii wala mtume wa taifa.
 
Mkuu nakuunga mkono hoja yako, hatuwezi tukampa uongozi wa taifa mwinzi kama yule na fisadi mkubwa.
Mungu kumlaani kwa sasa ni mgojwa kama kuku mwenye ndegua.

wewe kipara, siyo ndegua, inaitwa dengue.
 
Edward Lowasa ni Mamba ndani ya msafara wa wanaogombea urais kwa tiketi ya CCM.
Mwl.J.K.Nyerere si Mungu ni kiumbe tu !
 
Edward Lowasa ni Mamba ndani ya msafara wa wanaogombea urais kwa tiketi ya CCM.
Mwl.J.K.Nyerere si Mungu ni kiumbe tu !
Hii nchi ina wanafiki wengi sana.Nyerere alikua binadamu kama mimi au wewe na si Mungu au Nabii au Mtume.Naye alikua na mapungufu yake mengi tu.
 
Mtake msitake LOWASSA ndiye jembe la CCM lenye sifa zote za kiccm za ufisadi,wizi,kutoa rushwa na kupokea rushwa.
 
Ukweli uko wazi kuwa Nyerere alimkataa Lowasa kwasabu ya dini, kitabu cha siri cha Nyerere kinasema: Ni heri Mbuzi awaingoze wana CCM kuliko Mkristo kuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM. Jiulize ni raisi yupi wa TZ mkristo? ndo utajuu kuwa Nyerere alikuwa nani . Back Tanganyika.
 
Tusitake kudanganyana hapa, kuwa mwaka 1995 lowasa alikuwa na miaka 42 tu. Hana rekodi sawasawa za mwaka aliozaliwa. Pamoja na ugoigoi wote anauonyesha ana miaka 61 tu! tusidanganyane haiwezekani.

Huko kutembea kwenyewe anafanya kunyata.
 
Tunapokuwa vyuoni tunaambiwa jiepushe na vitabu vilivyozidi umri wa miaka 10. Sasa na nyerere mawazo yake hayawezi kuwa sawa hadi leo.

Aise sijui chuo gani ulifundishwa, ila sio kweli, ama sivyo wakina Isaac Newton, na wengineo Famous Scientists - List and Biographies of Most Famous Scientists and Inventors in History, ambao wameleta mabadiliko duniani utakuwa umewasahau kabisa..Wasomi wanagundua na kusoma kwa kutumia references za wasomi waliopita, na ni lazima uwape heshima zao kwenye maandishi..
Usemi wako sio kweli na naomba uulize wengine wakujuze..
 
Edward Lowasa ni Mamba ndani ya msafara wa wanaogombea urais kwa tiketi ya CCM.
Mwl.J.K.Nyerere si Mungu ni kiumbe tu !

Kwa hiyo huyu Mamba uko tayari atafune mpaka mifupa yetu?! Wabongo kuna tatizo, jamaa hata kabla ya kupata uraisi ni fisadi wa kutupa, je akiupata?!
 
Lowasa ndio rais ajaye, hakuna cha nyerere wala nani. Nyere kisha kufa na usia wake hauna maana yeyote. Hii nchi itakaa sawa kama Lowasa atakua Rais.
Bila shaka wewe ni mwehu,unaambiwa mtu ananunua ranch za taifa kwa majina ya familia ili asijulikane,we unakomaa tu,ccm wakimchagua tu lowassa,imekula kwao,chadema wataanza kwenye nywele hadi kwenye kucha kuweka wazi uovu wake,
 
Huyo Nyerere, yeye alikifanya kipi cha maana kwa miaka 24? Zaidi ya kuiwacha nchi hii kuwa masikini wa mwisho duniani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom