Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?



mikakati 10 ya lowassa ili kufanikisha safari ya matumaini:



  1. kuhonga wajumbe wa vikao vinavyopitisha majina
  2. kuhonga waandishi wa habari
  3. kuhonga vikaragosi kwenye social media
  4. kugawa fedha makanisani
  5. kugawa fedha misikitini
  6. kugawa fedha vikoba
  7. kugawa fedha saccos
  8. kugawa fedha mashuleni
  9. kugawa fedha vibindo
  10. kugawa fedha bodaboda

Naamini vikundi vyote tajwa vikiwezeshwa na Uchumi wa nchi utakua!

Si slogan za maisha bora bila kujua inaanzia wapi! (refer 21bl zilivyotapanywa)
 
History siyo kitabu. Vitabu vimekuwa vikifanyiwa revision kila siku ndo maana kuna edition kibao kwa kila kitabu hasa vya zamani. Kwa hiyo research aliyofanya nyerere kwa rowasa wakati ule leo inaweza kuwa siyo sahihi. Hivyo kama wewe ni msomi fanya research yako ili uone kama rowasa wa enzi za nyerere ndo huyu wa leo. Acheni kuwa mnakariri mambo.

Vitabu tu vinavyoitwa vya kiroho ndo vimeendelea kuwa outdated na watu wanaendelea kuvitumia. Vingine vyote vimekuwa revised.

Upo hapo?
Shule gani kaka,mbona unaanza kutudanganya wakati JF ina wasomi wengi?kama ni hivo then somo la historia halina faida mashuleni mana ni zaidi ya miaka 10.

Think before u say
 
Lowasa yeye anajiandaa kuchukua viatu vya JK ya Mafiemu wewe unaangaika na mawazo ya miaka 40, Urais umekuwa Rahisi siku hizi
 
Nashukuru sana kwa majibu mazuri yenye hoja. Ni kweli vitabu vinakua updated ila naamini vitabu kama vya Historia huwez ku update mana unavozidi ku update ni kama unapoteza maana au historia halisia ya jambo linaloongelewa. Katika Science vitabu vinakua updated lakini mara nyingi havina tofauti na ile edition ya kwanza. Mfano, Marsden and House wametoa edition mbili ya kitabu kinachoitwa "Chemistry of Gold Extraction", cha kwanza kilitoka mwaka 1992 na cha pili mwaka 2006. Nimesoma hichi cha 1992 na cha 2006 na kunotice kua more than 50% ya 1992 imo ndani ya 2006 na alivovi update ni kutokana na development of new technologies katika gold industry. Nnachomaanisha ni kua hata ukibadilisha vipi,kuna percent kubwa ya zamani bado itaendelea kuwepo.

Simaanishi kua Lowassa bado ana percent kubwa ya tabia yake ya zamani mana hiyo zamani sikuapo na sijui kama yanayoongelewa ni ya kweli au ya uongo ila nnachoamini ni kua kwa muda mchache aliokua kama Waziri Mkuu wetu amefanya mengi mazuri na tumeiona kazi yake.

Mimi nlichotaka kujibu ni ile hoja yako ya historia kua inabadilika.

Naamini nimeeleweka
 
Nyerere was a good leader at the time with the time and for the people at that time, we should not be referreing to him for everything that happening now or in future as if he had super powers to predict and give us solution of the unfolds. Nyerere failed in many ways, for instance, once he gave us Mwinyi, then he said the wife was running the show. After, he went to make Mkapa the president, the guy sold everything we own, now our economy is in the hands of white folks. One more thing, if he knew and was sure Lowasa was corrupt, why he never forced his party to prosicute him? as he forced party to accept many things including Ujamaa, Arusha declaration etc. Lowasa might be a theif of the century, sick or even too old, but we should not base or selection of leaders on Nyerere's vission. He lived his life well and I am greatful for that, let us live ours now, history only enriches the futuure but it does not built it. It only make me sad to see everyone refering to Nyerere for everything. If you see leaders referring to someone all time time when making their point, that means they are not ready to lead, they are only spokespersons or representatives of the person they always refere to.
Try to follow American politics boy, If you're full of scandals then forget about contesting for any position in America. The problem with Africans is that we like to overlook things like ethics and moral conduct from people who want to lead us expecting the best results from very same people at the same time.Immoral behavior and responsibility just don't fit in the same sentence.Vote Lowassa into the presidency at your own peril. Guess what?You've never learned the lesson from electing Kikwete!You're all acting like a bunch of sheeps heading yourselves into butcher house.Go ahead with your moronic plans.
 
maisha ya uongozi,huja kama baraka,na kiongozi ni Chagua la Mungu ,isitosha kiongozi lazima ukubalike mbele ya Mungu,zaburi 50:15 uniiti siku ya mateso nami nitakuokoa nawe ustanishuhudia,mateso aliyo pata mzee wetu ni hila za wanadamu,siku imefika atashuhudia mengi kuhusu afui zake Mambo ya giza waliyofanya,nchi haiongozwi kwa kukumbatia Miungu mingine ,zaburi 82:1 Mungu husimama katika kusanyiko la Mungu,katikati ya miungu anahukumu,tuwe makini na siasa zetu tusiwe wafuasi wa watu wanaotoa sadaka watu wengine ili kupata uongozi,watu wanafurahia jamii kuharibika na vitendo vya ushoga ,dawa za kulevya,biashara za ngono kwa watoto ,ujangili,kuchochea hali duni kwa taifa ,elimu mbovu,huduma za afya mbovu,mishahara mibovu,vita za udini,Rai yangu Edward ni mcha Mungu chagueni kiongozi mcha Mungu
 
Naona kaposho ka wama kanafanya KAZI kutudanganya watanzania galia.. Ila naomba utambue kuwa no mpango wa Mungu usiopingika, LOWASA ndiye raid was taifa hili 2015-2025
 


mikakati 10 ya lowassa ili kufanikisha safari ya matumaini:



  1. kuhonga wajumbe wa vikao vinavyopitisha majina
  2. kuhonga waandishi wa habari
  3. kuhonga vikaragosi kwenye social media
  4. kugawa fedha makanisani
  5. kugawa fedha misikitini
  6. kugawa fedha vikoba
  7. kugawa fedha saccos
  8. kugawa fedha mashuleni
  9. kugawa fedha vibindo
  10. kugawa fedha bodaboda

Kwahiyo MTU kusaidia watanzania wenzake ndio nongwa yako.. Acha upumbafu we mwanakulaaniwa
 
Je! Nyerere ni mungu? Poleni sana Membe team baadaye atakuwa Mende maana Lowassa ni chaguo la wa TZ. Zambi ya udini itamfuata Nyerere mpaka haela.
 
[h=3]Kwa nini Nyerere kumkataa Lowasa?[/h]
Kwa nini Hayati Baba wa Taifa alitumia kura yake ya veto kumkataa Lowasa kwa sababu iliyoitwa na inayoaminika mpaka sasa kuwa “Lowassa ana utajiri mkubwa usio na ufafanuzi alioupata kwa mda mfupi tu akiwa mkurugenzi wa AICC?”

Ikumbukwe ni kuwa hoja hiyo ya Mwalimu Nyerere ilikuja baada ya Lowassa na wapambe wake kukodi ndege binafsi kutoka Arusha kwenda Dodoma kuhudhuria vikao vya uteuzi wa urais mwaka 1995, kitendo
hiki kilimfedhehesha sana Mwalimu na wazalendo wengine na hata kufikia kuliondoa jina la fisadi huyu nguli wa Tanzania,

Je leo utajiri wa Lowassa umekuwa halali?

Mamlaka ya mapato Tanzania inaweza kututhibitishia uhalali wa kodi alipayo mtu huyu?

Tangu afukuzwe uwaziri mkuu mwaka 2007 taarifa za kuaminika kutoka vyanzo muhimu nikuwa Lowassa alitenga Tsh12 bilioni kwa ajili ya kujitakasa, ambapo mpaka leo hii ameshatumia Tsh8 bilioni, je pesa hii ameipata wapi? Imelipiwa kodi kiasi gani? Atairudishaje akiwa rais?

Ili kuhuisha mjadala huu hebu niwaeleze jambo muhimu dhidi ya mtu huyu aitwae Edward Ngoyai Lowasa,

Labda niwaelekeze watafiti watafute faili la EL la enzi za TANU pale Lumumba. Mzee Paul Sozigwa suala hili analifahamu fika.

Ndiyo, Mwl. Nyerere alichukizwa na tabia ya Lowasa ya kujitajirisha kwa kuiba mali ya umma. Lowasa, licha ya tuhuma za wizi enzi akiwa AICC, kujimilikiaha majumba ya Masajili wa Majumba wakati akiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mijini, Mwl. Nyerere alikuwa akifahamu wizi wa Lowasa tangu enzi za TANU. Kati ya mwaka 1974 na 1977 Lowasa aliiba pesa za TANU alizopewa kusamia ujenzi wa ofisi ya TANU Arusha.

Badala ya kujenga ofisi ya TANU Lowasa alinunua kiwanja na kujenga nyumba yake binafsi. Jambo hilo lilipogundulika mwaka 1982, lilimkasirisha sana Mwl hivyo kuamuru afukuzwe kwenye chama. Ni marehemu Edward Moringe Sokoine ndiye alimwombea msamaha kwa Mwl. Nyerere abadilishiwe adhabu.

Edward Lowasa alipewa adhabu mbadala; kuhudhuria kazini Ofisi Ndogo ya Chama Mtaa wa Lumumba kila siku bila kukosa, kuwa kazini masaa 8 bila kutoka lakini bila kupangiwa kazi yoyote hadi Chama kingeona ametubu na hatimaye apangiwe kazi nuingine. Lowasa alitumikia adhabu yake hadi Sokoine alipofariki.

Hiyo ndio sababu kuu ya Mwl. Nyerere kumkatalia Lowasa kugombea URAISI!.
 
WanaJF, nachelea kusema, waTZ tunasahau mapema, mtu mwenye maono ya mbali alishatwambia na kututahadharisha juu ya viongozi hawa wawili, lakini baada miaka kumi ya utawala wa Mkapa tumeangukia pua,
kwa aliye kataliwa moja kwa moja ndo anapigiwa chepuo kukamata kijiti cha urais, je WaTz tumejifunza nini?,,,h
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom