Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Hapo nimekupa vyote, opinions na facts. Na ndo maana nikakwambia tuheshimu specialization and division of labour. Kama unaelewa haya badi hutopata tabu kuelewa hilo nililoliandika.
Mkuu Naomba Upembue Kati Ya Facts Na Opinions Kwa Mujibu Wa Bandiko Lako.
Wapi Sijaheshimu "Specialization"
Na "Division Of Labour"?
 
Nadhani imetokea hivyo kama coincidence tu na sio matakwa ya kisheria wala ya kikatiba. Inawezekana wagombea wanaojitokezaka wakati wa uchaguzi wengi ni wanasheria na ndio wanaoonekana wanafaa kwa wakati huo na hivyo wanafanikiwa kushinda
 
Sababu kubwa ni kuwa taaluma ya sheria haisimamii katika kutafuta uhalisia wa kitu bali tasfsiri, sasa mtu aliyebobea katika kupindisha maneno ili kupata tasfiri ya jambo, huyo tunamwita mwanasiasa.
 
kwa kukazia tu!

ukiangalia kwa makini utagundua Chama cha Democratic ndo kimetoa marais wanasheria weng kuliko Republican!
Nimekuwa Mchunguzi Wa Marekani
Katika Nyanja Kuu Tano; Uchumi, Siasa, Sheria, Ujasusi Na Teknolojia.
Kwa Upande Wa Marais Nimeweza
Kung'amua Kwamba Marais 25 Waliopita Ni Wanasheria Kitaaluma
Kitu Ambacho Ni Tofauti Na Mataifa
Mengine Duniani.
Baadhi Yao Ni Kama Late John Adam,
Abraham Lincoln, Franklin Roosevelt Mpaka Barack Obama Na Ingebaki
Kidogo Huyu Bibie Machachari Hillary Clinton Angekuwa Rais Mwingine Mwenye Taaluma Ya Sheria.
Ila Nimeshindwa Kujua Ni Kwa Sababu Gani Ipo Hivi.
Mwenye Ufafanuzi Anijuze.
 
Pengine ndio maana wameendelea, maraisi wanazielewa vizuri sheria na wanazitekekeza Sasa fani ya Yule bwana na politics wapi na wapi?,ndio maana tunashuhudia mengi mageni

Urais hauangalii aina ya taaluma aliyonayo mtu, kama ni hivyo Bush Sr ambaye alikuwa Land Surveyor asingekuwa rais.
 
Mkuu ni rahisi sana mwanasheria mzuri kuiongoza nchi maana sheria ni noble proffession yaani mwanasheria mzuri anajua angalau kila sehemu, kwa mfano anasoma: medical laws, admnistrative laws, public international law, private international law, constitutional law, law of territory, tax law, bussiness law, cyber law and or electronic commerce law, land law, social security law, etc.
Kuna mwanasheria Kabudi wa Jalalani, tuna Mahakimu na Majaji wetu na kesi za upinzani zilizopo mahakamani.
Tuna IGP mwanasheria, tuna Naibu Spika Tulia ni Mwanasheria.
Achana na Ummy Mwalimu ambaye ni Mwanasheria,Je unajua kuwa Dr. Mwakyembe naye ni mwanasheria?
 
Nawe hujaelewa nilichoandika .

Iko hivi, USA huyo ni rais wa 45 sisi Tanzania ni rais wa 5 . Kwa hiyo, huwezi ukasema kuwa idadi ya watu 45 wakakosekana wanasheria na katika idadi ya 5 ni kawaida kabisa kukosekana mwanasheria.

Lakini, kuhusu mtu kusema kuwa mwanasheria anauwezo mkubwa siyo kweli, maana tunaona wanasheria kwa mfano, huko Tanzania wengi ndiyo wametufikisha hapa mfano, mikatabq walishindwa kutoa mawazo yao, wengine wamekuwa wanasheria wa serikali bado wametupoteza.

Any way, uzalendo ni muhimu sana katika hili jambo na siyo sheria, wala uhasibu.
Hao wanasheria unaodai walitufikisha ni kina nani? Mbona sisi wananchi wa kawaida tunawasikia wanasheria makini wakitoa ushauri wa kueleweka kabisa na wa bure bungeni lakini wanashambuliwa na kupuuzwa?

Katiba ya mwanasheria Jaji Joseph Warioba mbona inasifiwa na kila mtu lakini hao wasiokuwa wanasheria waliitipilia mbali?

Siwezi kuamini hoja yako eti uzalendo tu bila maarifa ndiyo muhimi. Kwanini huyo mzalendo namba moja Tanzania tangia ianzishwe Mwl Julius K Nyerere ndiye anayelaumiwa kwa kuiingiza nchi kwenye sera za kijamaa zilizoikwamisha nchi mpaka ikafilisika?

Unajua gharama ambazo nchi imeingia kwa maamuzi ya mtu mmoja anayeamini kuwa yeye anajua zaidi ya kila mmoja wetu? Kuanzia kuvunja mikataba kwa pupa bila kuzingatia ushauri wa kisheria? (Kwa taarifa yako, kwa huyo mmoja nchi inadaiwa matrilioni ya pesa mpaka sasa na itaendelea kudaiwa).

Hoja ya kuwa na mwanasheria ni hoja yenye mantiki kabisa. Siyo ya kupuuza. Japo sheria pekee haiwezi kuwa kigezo cha mwisho cha kumpata rais ajaye. Ila utayari wa huyo rais kuheshimu utawala wa sheria na kuzingatia haki za kiraia na haki za binadamu yawezekana ikawa ni kigezi kikuu.
 
Binafsi nimekuelewa sana.

Tanzania tunahitaji Rais mwenye Taaluma ya Sheria, No way.
 
Kuna mwanasheria Kabudi wa Jalalani, tuna Mahakimu na Majaji wetu na kesi za upinzani zilizopo mahakamani.
Tuna IGP mwanasheria, tuna Naibu Spika Tulia ni Mwanasheria.
Achana na Ummy Mwalimu ambaye ni Mwanasheria,Je unajua kuwa Dr. Mwakyembe naye ni mwanasheria?
Tundu Lissu umemsahau mkuu naye si Learned Brother?
 
Uongozi sio mchezo, inabidi sheria uzijue ili uongoze kwa kujiamini
 
Back
Top Bottom