Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,200
- 2,603
siyo kweli kwamba kila jambo liko wazi, mambo mengine ni ya kitaalamu zaidi na yanafahamika kwa mwanataaluma husika, kama mambo yangekuwa rahisi kama ulivyoandika basi hata nchi mbalimbali zisingehangaika kutafuta wataalamu ili kuongoza nchi zao maana kila mtu angefaa kuongoza kwasababu kila jambo liko wazi(kama ulivyosema). Halafu pia umejibu kwa kwenda nje ya swali la mleta mada, umezungumzia ufisadi wa viongozi wa Afrika, tamaa n.k, hivi vyote havihusiani na suala la U.S kuwa na maraisi wengi wanasheria. KaribuMurah, sokoro waito,
Hiyo siyo sababu , tatizo ni viongozi wanaopewa majukumu hujitoa ufahamu ila kila jambo lipo wazi.
Hata mtoto wa chekechea anaweza kuongoza sema tamaa, ufisadi na uchu ndiyo shida ya nchi zetu hizi za kiafrika.