Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Mkuu ni rahisi sana mwanasheria mzuri kuiongoza nchi maana sheria ni noble proffession yaani mwanasheria mzuri anajua angalau kila sehemu, kwa mfano anasoma: medical laws, admnistrative laws, public international law, private international law, constitutional law, law of territory, tax law, bussiness law, cyber law and or electronic commerce law, land law, social security law, etc.
Anajua kila kitu au anajua sheria tuu?
 
Mkuu Nani Amekudanganya Ili
Usome Sheria Fulani Kwa Mfano
Telecommunication Laws Inakubidi
Telecom Engineering?
Marekani Ina Wanasheria Wengi
Mno Ambao Areas Of Expertise Yao
Hawajapata Basics Lakini Wapo
Fit Mpaka Unaweza Sema Jamaa
Ni Daktari Kwa Kujua Medical Laws.
By The Way Hujatoa Ufafanuzi
Kwenye Mada Yangu.
Umechukulia mfano wa Marekani, kwa taarifa tuu, huwezi kuwa patent attorney (US) bila kuwa na BS/Engineering background (Category A).
 
Anajua kila kitu au anajua sheria tuu?
sikumaanisha kuwa anajua kila kitu bali nilimaanisha kuwa atakuwa anajua taratibu(sheria) nyingi za utawala na mwenendo wa kazi ktk taaluma nyingi, kwa mfano mwanasheria aliyesoma public na private international law kisha pia akasoma law of territory anaweza kuwa anafahamu vizuri taratibu za kidiplomasia ktk ngazi ya kimataifa.
 
Umechukulia mfano wa Marekani, kwa taarifa tuu, huwezi kuwa patent attorney (US) bila kuwa na BS/Engineering background (Category A).
Mkuu Acha Kupotosha Watu
Umesema Huwezi Kuwa Patent
Attorney ( U.S) Bila Kuwa Na
Engineering Background.
Wakati Mwanasheria In U.S.A
Mwenye Certificate In Intellectual
Property Anakuwa Patent Attorney
Bila Shida Yeyote Likewise Mwenye
Ujuzi Wa Legal Drafting.
 
Anajua kila kitu au anajua sheria tuu?
Mkuu Mwanasheria Anaujuzi Wa Kujua Sheria Kwenye His/Her Area
Of Expertise Kama Medical Laws
At The Same Time Anajua Each
And Everything Concerning Medicine in Each Case Arised.
Including Terms, Mechanisms, Impacts, Etc
Ili Aweze Kushinda Case Na Akiwa
Mahakamani Ana Mchallenge Daktari Utasema Jamaa Ni
Daktari Kasoro Anavaa Suti Tu.
 
Nchi zinaongozwa na sheria na wansheria asilimia kubwa wako kwa kufuata sheria wako.loyal kwa hiyo kitu so kuongoza kwao kunakuaga hakuna uonevu sana tofauti na hawa wengine walisoma kuchaganya maji na unga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilimaanisha kuwa atakuwa anajua taratibu(sheria) nyingi za utawala na mwenendo wa kazi ktk taaluma nyingi, kwa mfano mwanasheria aliyesoma public na private international law kisha pia akasoma law of territory anaweza kuwa anafahamu vizuri taratibu za kidiplomasia ktk ngazi ya kimataifa.

Kujua sheria hakukufanyi ujuwe diplomasia.
 
Mkuu Mwanasheria Anaujuzi Wa Kujua Sheria Kwenye His/Her Area
Of Expertise Kama Medical Laws
At The Same Time Anajua Each
And Everything Concerning Medicine in Each Case Arised.
Including Terms, Mechanisms, Impacts, Etc
Ili Aweze Kushinda Case Na Akiwa
Mahakamani Ana Mchallenge Daktari Utasema Jamaa Ni
Daktari Kasoro Anavaa Suti Tu.
Unataka kuniambia mwanasheria kujua maneno machache ya kitabibu ndo kunamfanya ajue, "Everything Concerning Medicine" ? Acha masihara wewe.
 
Mkuu Acha Kupotosha Watu
Umesema Huwezi Kuwa Patent
Attorney ( U.S) Bila Kuwa Na
Engineering Background.
Wakati Mwanasheria In U.S.A
Mwenye Certificate In Intellectual
Property Anakuwa Patent Attorney
Bila Shida Yeyote Likewise Mwenye
Ujuzi Wa Legal Drafting.

Labda kama unaongelea usa river lakini kama ni hii ninayoijua mimi ni lazima uwe na background ya science au Engineering (technical). Angalia hapa chini;
Patent attorney requirements
 
Unataka kuniambia mwanasheria kujua maneno machache ya kitabibu ndo kunamfanya ajue, "Everything Concerning Medicine" ? Acha masihara wewe.
Mkuu
Mwanasheria Mbobezi Kwenye
Medical Laws Sio Anajua Tu Terms
Mechanisms, Contra-indications, Impacts, Symptoms, Prevention
Measures Na Kede Wa Kede.
Ungekuwa Umehudhuria Kati
Ya Case Hasa Za Psychiatry, Syndromes Kama Aspegers, Autism, Anaesthetic, Euthanasia. Ungenielewa.
 
Kujua sheria hakukufanyi ujuwe diplomasia.
Mkuu
Rose Migiro Kitaaluma Ni Mwanasheria Tu. Amesoma
Sheria Tu. Lakini Amekuwa
UN Vice Deputy. NA Right Now
Ni Ambassador Wa U.K.
 
Labda kama unaongelea usa river lakini kama ni hii ninayoijua mimi ni lazima uwe na background ya science au Engineering (technical). Angalia hapa chini;
Patent attorney requirements
Mkuu
Kwa Mujibu Wa Source Yangu
Kutoka Google Haikizani Na
Kuwa Na Engineering.
Isipokuwa Inasema Mwenye
Intellectual Property Ama Legal
Drafting Can Be A Good Patent
Attorney. So Far Any Lawyer In
Europe Can Be A Patent Attorney
After Passing European Patent
Examination. ( EPE).
 
Nchi zinaongozwa na sheria na wansheria asilimia kubwa wako kwa kufuata sheria wako.loyal kwa hiyo kitu so kuongoza kwao kunakuaga hakuna uonevu sana tofauti na hawa wengine walisoma kuchaganya maji na unga

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Mkuu Kwa Mchango
Nimedaka Mbili Tatu.
 
Haya bana ila mimi sipendelei kujadili watu.
Mkuu Dhana Yangu Haikuwa
Kujadili Mtu Ila Nimemchukulia
Kama Mfano Wa Kwamba
Any Lawyer Can Be Ambassador
After Studying International Laws.
 
Haa Haa!
Imenibidi Nicheke Kwa Machale.
Hoja Ambayo Umeileta Ina Mashiko
Kwa Upande Flani. Ni Kweli Linapokuja Suala La Uongozi
Kuna Bidi Kuwe Na Uhusiano Wa
Watu Na Taaluma. Ndo Maana
U.S.A Haijawahi Kuwa Na Rais
Daktari Tangu Ipate Uhuru.
Nimejifunza Kitu Kwako.
Obama mwenyewe ni PhD holder sema wenzetu professor na Dr ni walimu Wa vyuoni mtaani wote mnaitwa mr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Mwanasheria Mbobezi Kwenye
Medical Laws Sio Anajua Tu Terms
Mechanisms, Contra-indications, Impacts, Symptoms, Prevention
Measures Na Kede Wa Kede.
Ungekuwa Umehudhuria Kati
Ya Case Hasa Za Psychiatry, Syndromes Kama Aspegers, Autism, Anaesthetic, Euthanasia. Ungenielewa.

Mi sikatai kuwa kunawanasheria waliobobea katika fani mbalimbali ndiyo maana nikakupa mfano wa patent attorney ambao kisheria wanatakiwa kuwa na taaluma za fani za sayansi kabla ya kuwa wanasheria. Hii ni kwasababu nivigumu sana kuhoji mambo ya kisayansi kama hujui misingi yake.

Mtu anahoji vitu kama "mshituko wa moyo ulisababisha kifo" wakati hajui hata bernoulli's principle ni nini unategemea atakuwa na hoja ya kushinda kesi? Hivi vitu huwezi kuvisoma na kuvielewa kwa wiki moja.
 
Mkuu
Kwa Mujibu Wa Source Yangu
Kutoka Google Haikizani Na
Kuwa Na Engineering.
Isipokuwa Inasema Mwenye
Intellectual Property Ama Legal
Drafting Can Be A Good Patent
Attorney. So Far Any Lawyer In
Europe Can Be A Patent Attorney
After Passing European Patent
Examination. ( EPE).
Wewe ulidokezea U.S ( Nchi inayoongoza kuwa na patents nyingi) ndo nikakwambia lazima uwe na background ya sayansi au tekinoloji. Sasa hayo ya Ulaya ni mengine.
 
Back
Top Bottom