Pundo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 2,390
- 3,314
- Thread starter
- #61
MkuuMi sikatai kuwa kunawanasheria waliobobea katika fani mbalimbali ndiyo maana nikakupa mfano wa patent attorney ambao kisheria wanatakiwa kuwa na taaluma za fani za sayansi kabla ya kuwa wanasheria. Hii ni kwasababu nivigumu sana kuhoji mambo ya kisayansi kama hujui misingi yake.
Mtu anahoji vitu kama "mshituko wa moyo ulisababisha kifo" wakati hajui hata bernoulli's principle ni nini unategemea atakuwa na hoja ya kushinda kesi? Hivi vitu huwezi kuvisoma na kuvielewa kwa wiki moja.
Ndio Maana Wanasoma Degree
Miaka Mitano Na Sio Wiki Moja.
Ummy Mwalimu Ni Waziri Wa Afya
Lakini Kitaaluma Ni Mwanasheria
Anafahamu Mambo Kede Wa Kede
Kwenye Udaktari. Nimebishana Na
Watu Wengi Wakidhani Ni Daktari
Walikubali Nilipo Waonesha Cv Yake.