Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Kwanini nusu ya Marais wa Marekani ni wanasheria?

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,314
Nimekuwa Mchunguzi Wa Marekani, Katika Nyanja Kuu Tano; Uchumi, Siasa, Sheria, Ujasusi Na Teknolojia. Kwa Upande Wa Marais Nimeweza Kung'amua Kwamba Marais 25 Waliopita Ni Wanasheria Kitaaluma Kitu Ambacho Ni Tofauti Na Mataifa Mengine Duniani. Baadhi Yao Ni Kama Late John Adam, Abraham Lincoln, Franklin Roosevelt Mpaka Barack Obama Na Ingebaki Kidogo Huyu Bibie Machachari Hillary Clinton Angekuwa Rais Mwingine Mwenye Taaluma Ya Sheria. Ila Nimeshindwa Kujua Ni Kwa Sababu Gani Ipo Hivi.

Mwenye Ufafanuzi Anijuze.
 
Nimekuwa Mchunguzi Wa Marekani
Katika Nyanja Kuu Tano; Uchumi, Siasa, Sheria, Ujasusi Na Teknolojia.
Kwa Upande Wa Marais Nimeweza
Kung'amua Kwamba Marais 25 Waliopita Ni Wanasheria Kitaaluma
Kitu Ambacho Ni Tofauti Na Mataifa
Mengine Duniani.
Baadhi Yao Ni Kama Late John Adam,
Abraham Lincoln, Franklin Roosevelt Mpaka Barack Obama Na Ingebaki
Kidogo Huyu Bibie Machachari Hillary Clinton Angekuwa Rais Mwingine Mwenye Taaluma Ya Sheria.
Ila Nimeshindwa Kujua Ni Kwa Sababu Gani Ipo Hivi.
Mwenye Ufafanuzi Anijuze.

Pengine ndio maana wameendelea, maraisi wanazielewa vizuri sheria na wanazitekekeza Sasa fani ya Yule bwana na politics wapi na wapi?,ndio maana tunashuhudia mengi mageni
 
Pengine ndio maana wameendelea, maraisi wanazielewa vizuri sheria na wanazitekekeza Sasa fani ya Yule bwana na politics wapi na wapi?,ndio maana tunashuhudia mengi mageni
Mkuu Hichi Ulichokisema Ni Mchango
Wa Wanasheria Kulijenga Taifa La
Marekani. Umewaza Vema Sana Na
Umeona Mbali.
Kwa Upande Wa Pili Hujanipa Ufafanuzi Wa Swali Langu Hapo Kwenye Mada.
 
Mkuu ni rahisi sana mwanasheria mzuri kuiongoza nchi maana sheria ni noble proffession yaani mwanasheria mzuri anajua angalau kila sehemu, kwa mfano anasoma: medical laws, admnistrative laws, public international law, private international law, constitutional law, law of territory, tax law, bussiness law, cyber law and or electronic commerce law, land law, social security law, etc.
 
Acha porojo.
Marais wa USA huyo wa sasa ni wa 45 sasa ukilinganisha na nchi yetu huyo ni rais wa 5!

Huwezi, ukalinganisha idadi hiyo kama mfano wa jambo hili.
 
Noble profession.

Do a little thing with the great love ~ Mother Theresa
Ni Kweli "Law" Is A Noble & Oldest Profession
Kama Ilivyo "Medicine".
Ningefurahi Kama Ningeona Ufafanuzi Wako Kwa Mapana
Kuhusu Mada Tajwa. Kwanini
Wanasheria Tu? What's Behind?
 
Mkuu ni rahisi sana mwanasheria mzuri kuiongoza nchi maana sheria ni noble proffession yaani mwanasheria mzuri anajua angalau kila sehemu, kwa mfano anasoma: medical laws, admnistrative laws, public international law, private international law, constitutional law, law of territory, tax law, bussiness law, cyber law and or electronic commerce law, land law, social security law, etc.
Hakika Naanza Kuelewa Mkuu.
Umejikita Vizuri Kufafanua.
 
Acha porojo.
Marais wa USA huyo wa sasa ni wa 45 sasa ukilinganisha na nchi yetu huyo ni rais wa 5!

Huwezi, ukalinganisha idadi hiyo kama mfano wa jambo hili.
Niache Porojo Gani Mkuu?
Umeelewa Mada Vizuri?
Hakuna Sehemu Yeyote
Nimetaja "Nchi Yetu"
WaLa " Rais Wa 5".
Rejea Upya Uje Na Ufafanuzi.
 
Acha porojo.
Marais wa USA huyo wa sasa ni wa 45 sasa ukilinganisha na nchi yetu huyo ni rais wa 5!

Huwezi, ukalinganisha idadi hiyo kama mfano wa jambo hili.
mtoa post kalinganisha na Tanzania in particular? anyway, still hujamjibu swali lake.
 
Mkuu ni rahisi sana mwanasheria mzuri kuiongoza nchi maana sheria ni noble proffession yaani mwanasheria mzuri anajua angalau kila sehemu, kwa mfano anasoma: medical laws, admnistrative laws, public international law, private international law, constitutional law, law of territory, tax law, bussiness law, cyber law and or electronic commerce law, land law, social security law, etc.


Murah, sokoro waito,
Hiyo siyo sababu , tatizo ni viongozi wanaopewa majukumu hujitoa ufahamu ila kila jambo lipo wazi.
Hata mtoto wa chekechea anaweza kuongoza sema tamaa, ufisadi na uchu ndiyo shida ya nchi zetu hizi za kiafrika.
 
mtoa post kalinganisha na Tanzania in particular? anyway, still hujamjibu swali lake.

Nawe hujaelewa nilichoandika .

Iko hivi, USA huyo ni rais wa 45 sisi Tanzania ni rais wa 5 . Kwa hiyo, huwezi ukasema kuwa idadi ya watu 45 wakakosekana wanasheria na katika idadi ya 5 ni kawaida kabisa kukosekana mwanasheria.

Lakini, kuhusu mtu kusema kuwa mwanasheria anauwezo mkubwa siyo kweli, maana tunaona wanasheria kwa mfano, huko Tanzania wengi ndiyo wametufikisha hapa mfano, mikatabq walishindwa kutoa mawazo yao, wengine wamekuwa wanasheria wa serikali bado wametupoteza.

Any way, uzalendo ni muhimu sana katika hili jambo na siyo sheria, wala uhasibu.
 
Back
Top Bottom