Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

Ndugu yangu unamhitaji Yesu akuponye, hayo ni mambo madogo sana.
 
Kama hukuwa na imani ya kutosha, basi mwamini Yesu leo ni jawabu la mambo yote
 
umesema vyema imani ndogo. Kuna jamaa alipitia zaidi ya hayo. Aliwahi hadi tengenezewa ajali huku akidrive gari ikapinduka mara sita then mti ukatoboa kioo na kusambaratisha kiti cha alichokuwa amekaa aliuona akakakwepa. Kisa cheo kazini na yote aliambiwa na mmoja wa hao maadui.Alikomaa naMungu hadi jamaa wakasurrender wenyewe. Mungu anaweza chief. Tatizo la waganga hakuna mwenye uwezo wote. Jamaa wangetafuta mwenye nguvu zaidi ya huyo dogo mngekiona wote wawili. Mimi napendekeza Mungu kwa ufumbuzi wa kudumu. Kumbuka ukienda kwa mganga lazima ubaki na majini ambayo bila kujua yatakusumbua kama si wewe hata watoto. Haiitaji imani kuubwa sana hiyohiyo ndogo Mungu anakusimamia vizuri tu bila shida kabisa. Ushauri tu.
 
Noted mkuu
 
nilipoishia........baada ya kuzisoma zile karatasi na kuzichoma moto alikaa kama dakiak tano kisha akasema jambo hili lilofanyika ni dogo sana lisikupe taabu na likatupotezea muda hapa,akasema ninataarifa sasa hadi kwa mganga walikofanyia mambo haya yote na mganga aliwaambia siku zako ni 40 hutakuwa na kazi na kifo kitakupata, akasema tena haya yote yasikutishe kuua mtu si kazi ndogo, rudi kaendelee na mambo yako uje kesho jioni hapa niachie elfu 36 kuna vitu nivinunue ukija hiyo kesho iwe zamu yetu kujibu scard za wajinga, kweli kesho yake nivoenda nilikuta dawa ina rangi ya kijani kwenye chupa ya maji ya kunywa, nikainywa kama nilivoelekezwa mambo mengine yaliyofuatia niliona anafanya mwenyewe na muda mwingi alikuwa anaandika andika kama karani wa ansard ya bunge, baada ya wiki ipatavo asubuhi alinipigia simu saa kumi na mbili akasema nimfuate na gari twende wote ofisini kwani kuna jambo wale maadui wamekesha nalo wakilifanya hivo ofisi yangu kwa siku hiyo ni hatari vibaya mno, akasema tena wamejua kuwa nami nashindana nao hivo wamekuja kivingine mpaka basi, ila akanambia hayo yote cha mtoto tuta yarudisha yalikotoka,nilipomfuata na kistarlet changu nikambeba mpaka ofisini, alipo ingia tu akanambia nifungue droo zangu zote, na nitoe kila kitu na kama kuna kitu cha tofauti na sikukiweka mimi basi nimwambie na nisikiguse, kweli bana droo ya pili nikaona kichupa kama cha dawa ya unga ya PPF ila ndani kina kitu kimesokotwa sokotwa na kina damu, niliogopa sana tena sana, jamaa akakichukua akakitazama sana, mwishowe akasema nakirudisha kilikotoka hapa hapa nawe unakiona, aliefanya kazi hii akiona kimerudi hatafanya jambo lingine maana hii ni technologia ya hali ya juu, pili kitendo cha wewe kukiona ujue kuwa uchawi ushavurugika yaani kime expire, kama kawaida alichukua karatasi nyeupe akaweka centre of my ofisi afu akachukua nyingine akawa anaandika huku akiwa bize vibaya mno, kufumba na kufumbua kile kichupa kilipotea kama vile hakikuwepo, akasema kimerudi kilikotoka, mi naondoka dogo we piga kazi na kama watarudia tena nitachowafanya hawata amini macho yao, ila kabla ya yote namtumia ujumbe mganga wao aache kukufuata fuata, kwa kifupi hadi saiz naandika hii article ile mizee miwili iliyokuwa inaniganda ilihama limoja liliacha kazi lingine likapata kazi ingine.... ila mapigano hayo yalichukua karibia mwaka mmoja saizi mambo yako shwari................. jamaninilienda kwa mganga sababu sikuwa na imani yakutosha ya kidini, wenye imani bakini hukohuko......ila jamaa aliniadisia vitu vingi ingawa hakuwai kunitajia jina la mtu hata mmoja alieenda pale kwa tiba, na sikuwahi kukutana na mtu nyumbani kwake ambae kaja kwa tiba
Weka link ya post ya kwanza. Bwana Yesu Asifiwe!
 
Usidanganyike you cannot fight evil with evil only light can so turn to God,worship Him and Him alone He will save you from all walks of evil... Nawasilisha
 
sewez weka namba yake unless kanipa ruhusu hiyo kama nivosema jamaa hapendi kufanya kazi hizi,
 
Back
Top Bottom