Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

mimi pia sijamuelewa mara alijaza mafuta kwenye pikipiki kisha alikuwa na gari walipokutana sheri,mmmh hizi habari hizi!!!

haujaelewa nini sasa? kasema alipompigia alimwambia yuko sheli akatoka akamfuata (na gari), akakuta anajaza mafuta, kwa vile yeye (mwandishi) alikuwa na gari, na mganga alikuwa na pikipiki ikabidi mwenyeji atangulie na pikipiki yeye afuate nyuma na gari, umeelewa?!!!! Watanzania walalamishi kweli, mtu anatoa experience ya maisha yake mwingine atatokea know mucha anajua kuliko mhusika!! ispokuvutia una:tape:
 
Ishakuwa bongo movie tayari haya Ngoja tusubiri iyo part 2..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aisee haya mambo magum sana!!!!
Mimi nlivomaliza tuu chuo kuna bro angu akanambia nichanjie kwa kujilinda, afu cjazoea nlikataa make nahsi nikiingia tu hko ntakufa aiseee!!!
Wot if ukakutana na MTU alokuzid nguvu?!!!
Nkasema acheni kwanza nipime upepo na nguvu ya asili toka kwa Mungu!!!!
Cku kikinuka itafahamika mbele kwa mbele!!!!¡¡¡¡
 
Nakusifu unavyojua kufupisha hadithi ndefu kwa maneno machache na yanaeleweka.
Kwenye part two kumbuka paragraphs.
 
Chief umepotelea wapi sasa, wenzio tunasubiri huku!!! Si unajua tena huenda ukawa dawa kwa wengine? Ofisiiiiiii ofisiiiiii za ndumba!!! Kuna mmoja kila alikuwa akifika ofisini akitaka kukalia kiti kinapotea anajikuta anakaa chini!!!! Ikaja nyingine, kila akiletewa faili la kusaini akifungua hata avae miwani hola, ukipofu unampata ghafla!!!
 
Wabongo kwa sound, hafu hapa tunachanganya sound na ushirikina.

Huyo mganga kama yupo na anaweza kufanya uganga niunganishie twende kuchukua Nobel prize.
 
Aisee haya mambo magum sana!!!!
Mimi nlivomaliza tuu chuo kuna bro angu akanambia nichanjie kwa kujilinda, afu cjazoea nlikataa make nahsi nikiingia tu hko ntakufa aiseee!!!
Wot if ukakutana na MTU alokuzid nguvu?!!!
Nkasema acheni kwanza nipime upepo na nguvu ya asili toka kwa Mungu!!!!
Cku kikinuka itafahamika mbele kwa mbele!!!!¡¡¡¡

Nyie watu wenye majina ya CHIEF basi mtakuwa na tatizo...
 
  • Thanks
Reactions: amu
Tunakusubiri basi usichukue muda mrefu.
Jamani hayo mambo yapo, ofisini kwa mama yangu kuna mbaba alikuwa mzima tu, alipopandishwa cheo yeye ni kulala tu.

Walihangaika mahospitali makubwa wapi hakuwa na ugonjwa wowote.
Akifika ofisini ni kuuchapa usingizi tu, mgeni ukienda unamwamsha, unamsalimu kidogo mwenzako anakoroma kauchapa usingizi. Mpaka akastaafu kwaajili hiyo.
 
Mwisho wa siku ni lazma ataweka adress ya blog yake muende mkaimalizie huko.
Promo.
 
Chief umepotelea wapi sasa, wenzio tunasubiri huku!!! Si unajua tena huenda ukawa dawa kwa wengine? Ofisiiiiiii ofisiiiiii za ndumba!!! Kuna mmoja kila alikuwa akifika ofisini akitaka kukalia kiti kinapotea anajikuta anakaa chini!!!! Ikaja nyingine, kila akiletewa faili la kusaini akifungua hata avae miwani hola, ukipofu unampata ghafla!!!

Umenikumbusha kipindi mama yangu anafanya kazi kama Accountant aligeuzwa kipofu aisee ,dunia hii inamajaribu kwa kweli
 
Khaa hivi Chai chungu yuko wapi tena?? Aise ile ya kwake na yule mwanamke wake ilistahili itungiwe movie kabisa. Sasa Chief72 tunakusubiri!!! Ofisi nyingi hasa za serikali na taasisi zake ni walozi kweli kweli!!! Si unajua wengi wanaingia kule na vimemo hawana merits hivyo ili kupanda ni lazima ndumba.

Hivi kwanini?
 
Back
Top Bottom