Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

Kwanini niliamua kwenda kwa mganga

Wabongo kwa sound, hafu hapa tunachanganya sound na ushirikina.

Huyo mganga kama yupo na anaweza kufanya uganga niunganishie twende kuchukua Nobel prize.

Kama jamaa amafanya karesearch kuhusu hii jamii ya leo ya kitanzania, anapata jibu murua ni jamii y aina gani. Da! Penda sana porojo, penda sana mambo ya giza.
 
Kuna watu wepesi sana kuamini kitu, kwa sababu washalelewa kwenye mazingira ya kuamini hivyo.

Mimi ukiniambia joka limepanda ngazi kitu cha kwanza kufikiri si uchawi.

Nitafikiri uko wapi? Kuna machaka hapo? Ngazi zenyewe ngapi? Hilo joka kubwa kiasi gani? Ni ajabu kiasi gani kwajoka kuingia ofisini hapo?

Mtu unakaa machakani huko, ghorofa ya pili, nyoka wa kawaida tu kapanda ngazi, ushasema uchawi.

Karatasi kutoa maandishi kwa mganga lazima ujiulize kwamba mganga hajapiga deal na hao waliokuuzia karatasi wakupe karatasi zenye invisible ink halafu mganha kakuwekea kemikali kwenye viatu I activate hiyo invisible ink kuonekana, it's chemistry.

Kuna illusionist mmoja alipandikiza kiwembe katikati ya mti mdogo, akarudi tema miaka 18 baadaye pale pale, akawachota watu, akachukua kiwembe kama kile alichokipandikiza kwenye mti ule miaka 18 kabla, akawaambia, mnakiona.kiwembe hiki? Nafanya.ma.abracadabra yangu kitatokea katikati ya mti huu.

Wakaukata mti, katikati ya mti wakaona kiwembe kama kile.

Sasa wabongo wengine wakiona kitu kama hicho lazima wakubali jamaa mchawi.

Kumbe ni long term planning tu.
 
mimi pia sijamuelewa mara
alijaza mafuta kwenye pikipiki kisha alikuwa na gari walipokutana
sheri,mmmh hizi habari hizi!!!

hivi wenzetu mnasomaje msielewe? someni tena labda mlikuwa na haraka.
aliyekuwa sheli na pikipiki ni huyo mganga sharobaro,ye alikuwa na gari.
 
nackia haruf ya uongo baada ya kujikanganya kwa maelezo sehemu ndani wajuzi wameona tayar
 
part two lini au we ni mganga unatafuta wateja?
 
CYBERTEQ anzisha yako huyu jamaa bado anatype.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wepesi sana kuamini kitu, kwa sababu washalelewa kwenye mazingira ya kuamini hivyo.

Mimi ukiniambia joka limepanda ngazi kitu cha kwanza kufikiri si uchawi.

Nitafikiri uko wapi? Kuna machaka hapo? Ngazi zenyewe ngapi? Hilo joka kubwa kiasi gani? Ni ajabu kiasi gani kwajoka kuingia ofisini hapo?

Mtu unakaa machakani huko, ghorofa ya pili, nyoka wa kawaida tu kapanda ngazi, ushasema uchawi.

Karatasi kutoa maandishi kwa mganga lazima ujiulize kwamba mganga hajapiga deal na hao waliokuuzia karatasi wakupe karatasi zenye invisible ink halafu mganha kakuwekea kemikali kwenye viatu I activate hiyo invisible ink kuonekana, it's chemistry.

Kuna illusionist mmoja alipandikiza kiwembe katikati ya mti mdogo, akarudi tema miaka 18 baadaye pale pale, akawachota watu, akachukua kiwembe kama kile alichokipandikiza kwenye mti ule miaka 18 kabla, akawaambia, mnakiona.kiwembe hiki? Nafanya.ma.abracadabra yangu kitatokea katikati ya mti huu.

Wakaukata mti, katikati ya mti wakaona kiwembe kama kile.

Sasa wabongo wengine wakiona kitu kama hicho lazima wakubali jamaa mchawi.

Kumbe ni long term planning tu.

hahahaa, kua mzigaombwe yanayoelezeka kisayansi, pia yapo yasiyoelezeka kisayansi!
 
Yasiyoelezeka kisayansi haina maana hayaelezeki kisayansi.

Kwa huyo illusionist aliyepandikiza kiwembe kwenye mti, ukiiangalia kijuujuu, unaweza kusema hamna scientific explanation.

Lakini kumbe mtu kaupanda wembe miakan 18 iliyopita.

Lack of an apparent scientific (natural) explanation does not mean lack of a natural explanation.

Even if it's a completely unknown natural phenomena.
 
nilipoishia........baada ya kuzisoma zile karatasi na kuzichoma moto alikaa kama dakiak tano kisha akasema jambo hili lilofanyika ni dogo sana lisikupe taabu na likatupotezea muda hapa,akasema ninataarifa sasa hadi kwa mganga walikofanyia mambo haya yote na mganga aliwaambia siku zako ni 40 hutakuwa na kazi na kifo kitakupata, akasema tena haya yote yasikutishe kuua mtu si kazi ndogo, rudi kaendelee na mambo yako uje kesho jioni hapa niachie elfu 36 kuna vitu nivinunue ukija hiyo kesho iwe zamu yetu kujibu scard za wajinga, kweli kesho yake nivoenda nilikuta dawa ina rangi ya kijani kwenye chupa ya maji ya kunywa, nikainywa kama nilivoelekezwa mambo mengine yaliyofuatia niliona anafanya mwenyewe na muda mwingi alikuwa anaandika andika kama karani wa ansard ya bunge, baada ya wiki ipatavo asubuhi alinipigia simu saa kumi na mbili akasema nimfuate na gari twende wote ofisini kwani kuna jambo wale maadui wamekesha nalo wakilifanya hivo ofisi yangu kwa siku hiyo ni hatari vibaya mno, akasema tena wamejua kuwa nami nashindana nao hivo wamekuja kivingine mpaka basi, ila akanambia hayo yote cha mtoto tuta yarudisha yalikotoka,nilipomfuata na kistarlet changu nikambeba mpaka ofisini, alipo ingia tu akanambia nifungue droo zangu zote, na nitoe kila kitu na kama kuna kitu cha tofauti na sikukiweka mimi basi nimwambie na nisikiguse, kweli bana droo ya pili nikaona kichupa kama cha dawa ya unga ya PPF ila ndani kina kitu kimesokotwa sokotwa na kina damu, niliogopa sana tena sana, jamaa akakichukua akakitazama sana, mwishowe akasema nakirudisha kilikotoka hapa hapa nawe unakiona, aliefanya kazi hii akiona kimerudi hatafanya jambo lingine maana hii ni technologia ya hali ya juu, pili kitendo cha wewe kukiona ujue kuwa uchawi ushavurugika yaani kime expire, kama kawaida alichukua karatasi nyeupe akaweka centre of my ofisi afu akachukua nyingine akawa anaandika huku akiwa bize vibaya mno, kufumba na kufumbua kile kichupa kilipotea kama vile hakikuwepo, akasema kimerudi kilikotoka, mi naondoka dogo we piga kazi na kama watarudia tena nitachowafanya hawata amini macho yao, ila kabla ya yote namtumia ujumbe mganga wao aache kukufuata fuata, kwa kifupi hadi saiz naandika hii article ile mizee miwili iliyokuwa inaniganda ilihama limoja liliacha kazi lingine likapata kazi ingine.... ila mapigano hayo yalichukua karibia mwaka mmoja saizi mambo yako shwari................. jamaninilienda kwa mganga sababu sikuwa na imani yakutosha ya kidini, wenye imani bakini hukohuko......ila jamaa aliniadisia vitu vingi ingawa hakuwai kunitajia jina la mtu hata mmoja alieenda pale kwa tiba, na sikuwahi kukutana na mtu nyumbani kwake ambae kaja kwa tiba
 
Hii hadithi zako za enzi za mawe utawapa ma-house girls..... haina mantiki hata kidogo
 
Back
Top Bottom