Khaa hivi Chai chungu yuko wapi tena?? Aise ile ya kwake na yule mwanamke wake ilistahili itungiwe movie kabisa. Sasa Chief72 tunakusubiri!!! Ofisi nyingi hasa za serikali na taasisi zake ni walozi kweli kweli!!! Si unajua wengi wanaingia kule na vimemo hawana merits hivyo ili kupanda ni lazima ndumba.
:bange: MBONA UMENIKATA STIMU!
Jiandae kupokea PM nyingi kuhusu contact za huyo mganga wako. Watu wanavyopenda ulozi nchi hii!
Nipe namba za huyo mtaaram kama vip ntumie kwa email.mtebemsusa@gmail.com au niadd kwa fb (jb msusa)
weka picha mkuu achana na maneno maneno