Kwanini ni rahisi kujua mke akichepuka?

Labda kwa ambao sio MAKONKI ndio utawagundua ila MAKONKI anatoka kuchapwa chumba cha jirani anakuja kukupa na wewe mmewe na haujui kitu.
 
Wanawake wanazini sana tu na hawagunduliki. Mwanamke ana kinai, anatamaa, anahamu ya kubadili ladha kama mwanaume.

Wanaume sisi ni waoga sana kusikia mwanamke katamani nje, ni waoga sana wa kuchapiwa, tunaona kama kuchapiwa ni udhaifu kwetu ndo maana tuna hizi theories za mwanamke kaumbiwa mwanaume mmoja, hawezi tamani nje n.k lakini wanazini wanawake tena wengine for fun wala si kwamba hampendi mumewe.

kuna ambao wanazini na mtu huko jioni anarudi kwa mumewe na wala hamkumbuki huyo aliyezini naye.

Hofu ya MUNGU na utii wa kiapo cha ndoa ndio kigezo kutakachomfanya mwanamke azini au la, na hii inatuhusu hata ss wanaume. Ukiwa na hofu ya MUNGU na mtii kwenye kiapo chako cha ndoa utaiogopa na kuikimbia zinaa.

Kinyume na hapo bila kujali jinsia, sisi wote ni binadamu wenye tamaa ya mwili.
Umemaliza kila kitu.
 
Mkuu hapa umepotoka, narudia hapa umepotoka haya yako hayana ukweli hata nusu, hata robo, mwanamke akichepuka akilala na mwanaume nje ta ndoa huwa anafanya kwa mapenzi kabisa tofauti na sisi wanaume tunafanya kwa kujipa raha tu na inaishia hapo, na mwanamke akitoka njee tambua ndoa itakua ina migogoro sana tofauti na mwanaume akitoka nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu bado hujawajua wanawake kwa faidi yako tu kazana kuwajua itakusaidia sana

Mwanamke ana cheat for fun mkuu hiyo haipo kwako, wanawake mpaka akupe uchi wake hiyo inatoka moyoni kabisa na sio vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke akikuchit mwache aende zake yanini presha, kwa kuwa wanachit kwa kupenda na wala sio for funy sasa kama ameingia kwa mchepuko hiyo inamaana kuwa amempenda huyo aliechit nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa umepotoka, narudia hapa umepotoka haya yako hayana ukweli hata nusu, hata robo, mwanamke akichepuka akilala na mwanaume nje ta ndoa huwa anafanya kwa mapenzi kabisa tofauti na sisi wanaume tunafanya kwa kujipa raha tu na inaishia hapo, na mwanamke akitoka njee tambua ndoa itakua ina migogoro sana tofauti na mwanaume akitoka nje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu.
 
Mwanamke ana cheat for fun mkuu hiyo haipo kwako, wanawake mpaka akupe uchi wake hiyo inatoka moyoni kabisa na sio vingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa. Ndivyo wanavyowaambia vijana Ila kama ww ni mtu mzima mwenzangu utakubali kuwa Sababu za mwanamke kutoka nje ni zile zile: Siridhishwi kimapenzi, hanijali, pesa, siyo romantic, n.k. Sababu zote kasoro pesa huusisha tamaa ya mwili.

Wanawake wanazini sana tu chunguza utafahamu kuwa Mke wa mtu azini peke yake, anazini na mwanaume. Na idadi ya wanaume wanaozini na wake za watu ni kubwa tu ina maana kuwa wanawake pia ni wengi wanaofanya zinaa kwa nia ya kutimiza tu mahitaji ya kingono ya mwili.
 
Ingawa mwanamke akichit anakua na hofu kubwa kwa siku ya kwanza ni rahisi kumjua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ipi unaiongelea ndugu yangu?

Ww sidhani kama una 40yrs? Una wake ambao walizini ukafahamu sababu walikuwa na hofu? Hiyo conclution umeitoa wapi kwenye dunia ya leo?

Kwanza ondoa notion kuwa wanawake unawafahamu, pili ondoa notion kuwa wanawake hawana tamaa kama ya mwanaume, hawakinai, na hawapendi ngono kama anavyoipenda mwanaume na tatu kumbuka kuwa mwanamke ni binadamu na binadamu hawafanani tabia. Hivyo usiwaweke wanawake wote kwenye kundi moja.

Kama mwanamke wako alicheat akawa muoga haimaanishi kuwa wanawake wote wakicheat wanakuwa waoga.

Kuna wanaume pia wakicheat mara ya kwanza wanakuwa waoga, wengine wanaogopa mpaka wanashindwa kupiga mzigo. Hilo ni suala la binadamu si mwanamke tu.

VIJANA MNAPENDA KUWAONA WANAWAKE NI VIUMBE FULANI TOFAUTI SANA NA MWANAUME LINAPOKUJA SUALA LA NGONO.

KIJANA WA LEO USIWE ZEZETA, TEGEMEA LOLOTE KWA MWANAMKE, HATA KUWA NA NYUMBA NDOGO AKALIPA KODI NA KUWEKA KIJANA KWA AJILI YA NGONO TU WANAWEZA KUFANYA. NA UKUMBUKE HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA.
 
Mwanamke akikuchit mwache aende zake yanini presha, kwa kuwa wanachit kwa kupenda na wala sio for funy sasa kama ameingia kwa mchepuko hiyo inamaana kuwa amempenda huyo aliechit nae

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, mwanamke akicheat mwache aende zake sababu siyo loyal kwenye kiapo chake cha ndoa na hawezi kuzuia tamaa yake ya mwili.

Mwanaume pia hili linamuhusu. Malaya ni malaya awe wa kiume au wa kike.

Malaya maana yake ni kushindwa kuzuia tamaa zako za mwili na si kutokuwa na tamaa. Tamaa ipo kwa mwanaume na mwanamke, ipo kwa binadamu. Unatakiwa uishinde

Binadamu wote tuna tamaa ya mwili na tunakinai. Kinachotufanya tusiwe malaya ni utii wa Kiapo cha ndoa, hofu ya MUNGU na hofu ya kupoteza reputation yako katika jamii. Kinyume na hapo ss wote ni binadamu na tunapenda ngono.
 
Jamani kuchapiwa kuna uma nyie!!! acheni tu! basi mtuonee huruma dada zanguni!!! eeeee!! nawaomba kina dada Wote mbona tunawapa kila kitu??! semeni tu mnataka nini?

Naahidi tutajitahidi kutulia! Na dhamini jukwaa la utulivu humu JF! heee! mmm!! eee! shshshs!.... wangapi mmechapiwa humu tuwape pole!!! msione aibu.
 
Kumzuia mwanamke kuchepuka ni sawa na kulinda bahari ...

Kugongewa hakukwepeki wakuu..

Dismiss case.
Ndiyo uilinde hasa hiyo bahari!! mbona barida tuu! ukamate wavuvi haramu km Magu!!

Mbona binamu zetu watamu tumegongana sana huko kijijini tena bure! lkn kamwe roho hazikuuma mpaka leo! kabisa! ukilinganisha na hawa wa kugonga mjini? fikiria ka-mke eti ka kukutana nako Dar!! sijui temeke roho zinauuuma kakigongwa!! kwa nini? mjiulize wananzengo!

Elewa wakati binamu zetu vijana walikuwa vipusa hasa vya haja?? hasa huyu Penina nilimpenda!! but tuliachana kirohosafi tu mpakaleo!! nadhani hapo ndo kuna limbwata hapo lina husika wanaume amkeni....

ngoja ni muulize dada binamu km yumo humu!! anijibu! eti binamu ilikuwaje??? na wewe unafanya haya kweli? kwa nini hukunifanyia mimi tukaishi

Na amini ujue dada binamu nikishindwa kukaa na hawa wa mjini! nakurudia hata ufanyeje!!! umeolewa mimi sijui hayo!! make huna tabu wewe km hawa wa mjini!
 
Bahari hailindiki mkuu,,,utailinda bahari ya hindi wakati wenzio Mediterranean oceans wanachota na wanaogelea.?

Utawezaje kulinda bahari..?

Yupo demu mmoja mtoto wa Mwenye nyumba wangu alikuwa ananipa utamu chooni,

Akiingia kujisaidia na mm naingia kuoga bafuni..
Baadae namfata huko anakojisaidia.
Nampa mgegedo huko huko tukitoka mikausho...

Wenyewe walikuwa wanamlinda kweli kweli..

Mm nawachora tu.
 
Tubu
 
Back
Top Bottom