mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,749
- 7,857
- Thread starter
-
- #101
Iambie hiyo mutuKwani Paulo hakufika uzeeni?
Hoja ya ajabu hii, Paulo na Petro walifika uzeeni wakauwawa na hawakuwa na wake.
Maisha anayapanga Mungu, hujui nani Kati ya mwanamke na mwanaume nanu atatangulia
Classmate unaongeleaje hili?Aiseee
Si kweli. Ni huko kwenu. Kwetu mbona haya hayapo? Hapa DSM siyaoni pia... mimi mjomba yangu ana 100+ na bado ana nguvu zake na anajihudumia safi kabisaMnachokaga mapema sana wanaume...
Sio kamasi tu hata nya...
Sio kwa ubaya...
Ni ukweli mchungu...
PerfectNDOA ni suala la makubaliano na ''hiari'' kati ya watu wazima wawili wa jinsia tofauti.
- Hakuna haja ya kukushawishi ama kukukataza, kuoa ni hiyari yako.
- NDOA ni zawadi kutoka kwa Mungu, kutaka kuoa sio kuoa ... unaweza kutaka na usioe.
Be you and enjoy your life
Including you or?Wanachoka waliopo ndoani, hawali vizuri wala kulala ili kumpambania mwanamke , na kumlinda.
Uko on point.Hata usipomzidi ex wake, akiamua kukuheshimu atakuheshimu tu. Ukiona hakuheshimu na umesimama kwenye nafasi yako, jua hakutaki unampotezea muda tu.
Kwamba Le Mutuz alikuwa mshamba siyo?Bado hajazaliwa mwanamke anayeweza kunipiga picha bila ridhaa yangu
Watoto wa kishua hawana ujinga huo sema wale Wana ecological niche, wazazi wao wako makini kuwaoza watoto wao sehemu sahihi labda itokee tu.Hivi hao mademu mnawaokota wapi? I hope ni wa mazingira ya Mbagala, Mabibo, Mwananyamala nk, mbona huku Mbezi beach siwaoni?
Yaani hawezi fanya kazi yeyote, anatunzwa na kampuni mmoja hivi.Sasa kama ana stroke show atapiga vizuri kweli?
Yeah ujue watu hawawezi kujua Siri ya muda was magonjwa na kifo, Siri hiyo anayo Mungu peke yake.Si kweli. Ni huko kwenu. Kwetu mbona haya hayapo? Hapa DSM siyaoni pia... mimi mjomba yangu ana 100+ na bado ana nguvu zake na anajihudumia safi kabisa
Na na wish walalahoi wangeiga hii kitu... wanakwama wapi sijui?Watoto wa kishua hawana ujinga huo sema wale Wana ecological niche, wazazi wao wako makini kuwaoza watoto wao sehemu sahihi labda itokee tu.
Mkewe anaendelea naye? Ila atapona.Yaani hawezi fanya kazi yeyote, anatunzwa na kampuni mmoja hivi.
Kabisa.Yeah ujue watu hawawezi kujua Siri ya muda was magonjwa na kifo, Siri hiyo anayo Mungu peke yake.
Mkuu mimi nimeuliza tu. Hivi DeepPond, mwanamke hata ukimpiga au mkikosana, hivi anaweza kufika mbali zaidi kwa kukupa sumu?Wakataa ndoa mmerudi Tena,
Hapa katikati mlitupunzisha kidg[emoji4]
Anaweza kukupa ndio,Mkuu mimi nimeuliza tu. Hivi DeepPond, mwanamke hata ukimpiga au mkikosana, hivi anaweza kufika mbali zaidi kwa kukupa sumu?
So DeepPond hapo wewe unakaa kwa machale sana bila shaka.[emoji38]Anaweza kukupa ndio,
inategemea amechoshwa na Wewe kwa kiasi gani
Mwanaume lazima uishi kimafia,So DeepPond hapo wewe unakaa kwa machale sana bila shaka.[emoji38]