๐๐Kugongewa hakuepukiki mkuu ila kesi nyingi za kugongewa, ni zile ambazo wewe ukiwa mbali naye kama mkoani . Ukiwa karibu naye kesi inapotea ila kama ipo,piga chini , tafuta mwingine. Mwanamke akikuheshimu, hawezi gongewa na mtu.
Alafu ofisini pia kule kugongewa ni njenje.
Hii ni ngumu kumeza mkuu, unavuta picha akibinuliwa , lazima kaa la moto likukabe kwenye koo๐๐kuna mahali niliona mtu ameandika, 'unatakiwa umuamini, hao wengine wanatoa shombo tu'๐
Kazi sana, ila Kwa mwanamke uaminifu wake inatokana na heshima anayokupa.kutoka nje ni issue nyingine,
uaminifu ni kazi aisee
sijui lakini,Kazi sana, ila Kwa mwanamke uaminifu wake inatokana na heshima anayokupa.
Ila pia uaminifu pia inatokana na koo na kabila, mfano wanawake wa Kimakonde na Waswahili wanafundishwa wasiwanyime wanaume wenye upwiru. Yaani Iko kwenye DNA. Sasa usipojua kuhusu hili , lazima utakuja kusema ndoa ni Utapeli.
Umalaya ni tabia ya mtu na pia umalaya kuna vitu tunafunzwa ili kufanya uwe mdogo ila ndo vile tunapuuza...Kujitambua kwako kijana na kuwa Malaya havina uhusiano na Ndoa,,na sio kwamba ukiwa ndoa ndio garantii ya kwamba unajitambua na sio malaya,,mbona kuna walio na ndoa ni malaya na Hawajitambui pia,,Maisha ni Wewe hizi nyingine ni propaganda za walimwengu!!
wivu wivu wivu๐Hii ni ngumu kumeza mkuu, unavuta picha akibinuliwa , lazima kaa la moto likukabe kwenye koo๐๐
Pia na wanawake wa kinyakyusa wanapenda chini, ukiwa mvivu usipowapa, wanaenda kutafuta sehemu ya kuchakatiwa, nimeshuhudia Kwa macho yangu.kutoka nje ni issue nyingine,
uaminifu ni kazi aisee
Ukweli, aisee wanawake wa sasa usipokuwa na inchi fulani, wanakudharau, hii ni kwasababu picha walizokuwa nazo hazitoki kwenye ubongo.Umalaya ni tabia ya mtu na pia umalaya kuna vitu tunafunzwa ili kufanya uwe mdogo ila ndo vile tunapuuza...
Mfano tabia nyingi kama ulevi , kuvuta sigara au bangi hizi hakuna mtu anazaliwa nazo ila anakuwa addicted taratibu baada ya kujizoea mpaka anakuwa mraibu kabisa na akikosa anapagawa kabisa.
Concept walikuja nao wakubwa wetu (wau wa zamani) ni kwamba kutokufanya mapenzi kama ya ndoa ili usiwe addicted mapema mpaka uwe katika mfumi rasmi wa kujihakikishia unapata wa kukidhi haja zako(Ndoa) la sivyo kila siku utakuwa na mtu mpya (umalaya)..je utalala na wangapi katika hii dunia ?
Wazee wetu walikuw wanaoana mapema na wanaanza kuexperience mambo ya ndoa ndani ya ndoa sio kama vijana wa sasa ,ndo maanq enzi zile mwanamke anamuona mumewe ndo kila kitu kweny mambo ya ndani.
Siku za sasa , Mwanamke kashatembea na wanaume kibao na kila size ya uume kaonja ,hizo experience zinabaki kichwani mwake milele hapo anaanza kubagua wanaume kwa maumbile.
Ni wivu mkuu ila kuchapiwa inauma mno kama umeweka moyo wako wote kwa huyo mwanamke.wivu wivu wivu[emoji23]
Inauma sana sana.Ni wivu mkuu ila kuchapiwa inauma mno kama umeweka moyo wako wote kwa huyo mwanamke.
Kwa hyo sisi wanaume ni wakufutwa kamasi uzeen , dah yani mnajionaga nyie ni miamba eti!!!!Fainali uzeeni...
Utapokosa wa kukufuta kamasi...
Kwani Paulo hakufika uzeeni?Fainali uzeeni...
Utapokosa wa kukufuta kamasi...
[emoji16][emoji16][emoji16] nilishatoka dom to moshi usiku kisa tu simu haipokelewi nikihisi nachapiwa ,kufika singida akapiga kapitiwa na usingizi , ikabdi nirudi huu ujinga now day sifanyi kabsa . kabsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inauma sana sana.
Kama kidonda, mi bamdogo wangu kapata stroke kisa kuchapiwa na mwanamke wake wa kiluguru, Mswahili.
Stroke anayo mpaka Leo.
nimecheka sana๐usipokuwa na inchi fulani
Mnachokaga mapema sana wanaume...Kwa hyo sisi wanaume ni wakufutwa kamasi uzeen , dah yani mnajionaga nyie ni miamba eti!!!!
Hawa wanawake ndo maana Elon musk haoi , anazalisha tu, hii modern education system imewaharibu wanawake na hatuna namna.[emoji16][emoji16][emoji16] nilishatoka dom to moshi usiku kisa tu simu haikupokelewi nikihisi nachapiwa ,kufika singida akapiga kapitiwa na usingizi , ikabdi nirudi huu ujinga now day hauna nafasi kabsa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa sababu kuu ya wewe kuolewa ni kusafisha nya?๐Mnachokaga mapema sana wanaume...
Sio kamasi tu hata nya...
Sio kwa ubaya...
Ni ukweli mchungu...