Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

Kilichonisikitisha narudia nisikitisha...! ITV Mpo Mubashara....Warembo Wale Eti na wenyewe wanatifuana ili apatikane mshindi....! Ombi langu tuwaongoz
Hivi ITV walirusha live mapambano yawale wadada ?
Sijajua kabisa ivi kwanza alishinda nani kati ya Zulfa Macho na Halima vunja bei
 
Inachekesha lakini inauma pia. Kila nikifikiria sababu ya kuweka pambano usiku wamanane siipati. Na hakika wanakosa watazamaji wengi, kwenye TV na hata ukumbini pia. Nahakika hata walioko ukumbini wengine wanakua wamelewa wanapiga kelele tuasubuhi wakiamka hawakumbuki kitu (I've been there :D)
Muda unaotaka ngumu zichezwe, saa 3 na kuendelea, ndio muda unaotumika. Kinacho kutesa, ni elimu, hasa geography. Nchi zina masaa tofauti tofauti. Hata hapa nchini, kuku wa mkoa wa Pwani anaingia ndani kabla ya kuku wa Kigoma!
 
Ni kweli elimu inanitesa. Haya niambie ngumi kuchezwa usiku wa manane walengwa ni wapi? Kumbuka usiku wa manane ni usiku wa manane hata uwe wapi. Kama ni usiku wa manane dar es salaam hata kama ikiwa ni asubuhi sehemu nyingine haimsaidii mtu aliyepo ukumbini dar es salaam. Kuna watu ukumbini ambao wanatakiwa waende majumbani kwao baada ya ngumi. Haya lete Geography yako hapa utafafanulie tuelewe tuelimike
 
Back
Top Bottom