Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,285
- 6,557
Mtakumbuka Mara tu baada ya Kikwete kuingia madarakani mwaka 2005, Mkuu wa Majeshi Robert Mboma alikuwa anakaribia muda wake wa kustaafu.
Msaidizi wa General Mboma alikuwa Luteni Generali Gideon Sayore. LG Sayore alikuwa hajafikisha umri wa kustaafu jeshinni huku Bosi wake Mboma akistaafu.
Kwanini Rais Kikwete hakumteua kuwa Mkuu wa Majeshi?