Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Umeeleza vyema kabisa, ila hujamalizia kuwa aliendelea na fitina na chokochoko zingine mpaka msikitini, kwa Idd Simba na Mufti wa wakati ule kumsema vibaya Mwl. J.K Nyerere kuwa anawaonea Waislam

Aisee Waswahili wana jau sana
Idd Simba gani amewahi kuwa mufti,mnatengeneza uongo usio na tija kwa sababu ya chuki tu.
 
Idd Simba gani amewahi kuwa mufti,mnatengeneza uongo usio na tija kwa sababu ya chuki tu.
Una kichaa? Umesoma vizuri comment yangu?

Nimesema Idd Simba na Mufti, ni wapi nimeandika kuwa Idd Simba aliwahi kuwa Mufti?
 
Una kichaa? Umesoma vizuri comment yangu?

Nimesema Idd Simba na Mufti, ni wapi nimeandika kuwa Idd Simba aliwahi kuwa Mufti?
Kwahiyo mlikuwa wewe,Idd Simba na Mufti au ulihadithiwa na Mufti au Idd Simba maana naona baada kukutoa nishai umeruka kiunzi.
 
Kwahiyo mlikuwa wewe,Idd Simba na Mufti au ulihadithiwa na Mufti au Idd Simba maana naona baada kukutoa nishai umeruka kiunzi.
Umenitoa nishai au huna uelewa

Onesha mahali nilipoandika kuwa Idd Simba ni Mufti kama sio Umbea wako
 
Umenitoa nishai au huna uelewa

Onesha mahali nilipoandika kuwa Idd Simba ni Mufti kama sio Umbea wako
Sawa,tuambie wakati Kikwete akimsema Nyerere kwa Idd Simba na Mufti na wewe ulikuwepo au nani kakuhadithia kati yao?
 
Jeshini fitna sana, na usiombe uwe na cheo kidogo afu mkubwa wako akuchukie mbna utajuta. Kuna mzee alishwahi kukaa na cheo kimoja miaka kumi, kisa wivu tu. Jamaa katoka chuo kikuu ni injinia, michongo michongo mingi akajenga gorofa la kuishi, aje amuoneshe rafiki ake ambae ndo bosi sasa.....picha likaanzia hapoo.... Hizi stori watoto wa kambini wanazjua sana wala sio uwongo.....jeshini hukatai order kutoka juu, lazima utiii
 
Back
Top Bottom