Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,224
Kelele zenye muelekeo wa lawama zimekuwa nyingi kwa Rais mstaafu kuwa anamshauri vibaya "mama" Rais aliyepo madarakani. Nabaki na butwaa nikiwa na maswali yafuatayo;
1. Je ni nani mwenye ushahidi kuwa Kikwete ndiye anamshauri SSH?
2. Je SSH (Dkt) hana washauri kwa utaratibu unaofahamika na Kikwete ni miongoni mwao?
3. Je uwepo wa Kikwete kati ya Marais waliotangulia mbele ya haki ndio sababu ya kumlaumu?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Usitumie jazba isipokuwa ukweli wenye mashiko (facts) kuchangia hoja