Kwanini mwenyezi mungu hajapenda kuonekana kwa binadamu ?

abdulay1993

JF-Expert Member
Jul 8, 2013
333
225
We umewahi kuuona umeme au upepo thats the same.Hakuna mungu na kama yupo lete ushahidi usio na shaka.

Uliwah muona shetan wee... Au jini... Je unaamini Nan alikueleta dunian na kwa lengo gan... And why u still alive.... Una hisia we uliziona hisia zako mungu yupo if you dnt believe nenda katembelee hospital
 

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,194
2,000
Musa alipokutana na >lakini si kwa uhalisia< alipo shuka tu mlimani alikua anangaa mpaka waisrael wakastaajabi. wakati mwingine waisrael walilamika na kutaka kumuona MUNGU,nae alikubali, sasa ujio wake! kabla ya kufika tu akiwa njiani anakuja walishindwa kustahimili ujio waka waka sema basi.

Mungu akiwa njiani anakuja?kutoka wapi? Sio huyu aliyeko kila mahala inamaana mungu anafanya appointment?.There is no god beleive me or not those are stories like any other stories.

hivyo kwa maumbile yetu yetu hatuwezi kumuona MUNGU kwa macho haya ya nyama. na kingine kama MUNGU angejionyesha kwetu wanadamu wangemtengeneza kwa mfano wawalivyo muona, na MUNGU hapendi kufananishwa na chochote.JINA LA MUNGU LITUKUZWE.

Aisee,kama unasema angejionesha kwetu tungemtengeneza ilikuwaje akina ibrahim wakawa na miungu ya kuchonga hapo kabla?je wao walimwona wakamchonga?tumia akili kidogo ndugu usikariri jaribuji kusoma na vitabu vingine mtapata maarifa.
 

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,194
2,000
The Earth is the way it is either we like or not,the presence of Intellectual disgner or creator depends on our minds.Ndo mana hata miaka zaidi ya 200 iliyopita watu wote waliamini kwamba dunia ni bapa na kwba jua linaizunguka dunia lakini hiyo haikubadili kuwel kwamba dunia ni duara na dunia ndio inalizunguka jua
 

Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
3,681
2,000
Mungu akiwa njiani anakuja?kutoka wapi? Sio huyu aliyeko kila mahala inamaana mungu anafanya appointment?.There is no god beleive me or not those are stories like any other stories.Aisee,kama unasema angejionesha kwetu tungemtengeneza ilikuwaje akina ibrahim wakawa na miungu ya kuchonga hapo kabla?je wao walimwona wakamchonga?tumia akili kidogo ndugu usikariri jaribuji kusoma na vitabu vingine mtapata maarifa.

walifanya hivyo wakidhan pengine mungu ndio yuko hivyo,fikiri hapo MUNGU hakuwai kuonekena kwao wakatengeneza samamu je angelikua amejitokeza na kujionyesha unadhani wangefanyaje?.
kingine MUNGU ni Roho na yupo popote pale,walipotaka kumuona MUNGU yeye alijua hawastahimili kumuona alichokifanya ni kuwaletea uvumi na utisho,waliposikia huo uvumi ndio wakajua MUNGU anakuja,na kama ndio ujio wake ndio ulivyo ni atakuwa ni wakuptisha sana ndio wakaomba asije tena,lakini MUNGU alikuwepo palepale.
pangu pakavu nitilie mchuzi.
 

Free ideas

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
3,194
2,000
walifanya hivyo wakidhan pengine mungu ndio yuko hivyo,fikiri hapo MUNGU hakuwai kuonekena kwao wakatengeneza samamu je angelikua amejitokeza na kujionyesha unadhani wangefanyaje?.
kingine MUNGU ni Roho na yupo popote pale,walipotaka kumuona MUNGU yeye alijua hawastahimili kumuona alichokifanya ni kuwaletea uvumi na utisho,waliposikia huo uvumi ndio wakajua MUNGU anakuja,na kama ndio ujio wake ndio ulivyo ni atakuwa ni wakuptisha sana ndio wakaomba asije tena,lakini MUNGU alikuwepo palepale.
pangu pakavu nitilie mchuzi.

Aiseee!!!
 

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
2,000
Tatizo ni DHAMBI iliyoingia kupitia kwa Adam na HAwa, Kabla ya dhambi ilikuwa ni desturi ya Mungu kukutana na wanadamu hao tena kama mtu na watoto wake bustanini. Ushahidi ni siku alipokuja na kukuta wamejificha (japo alijua)
Mwanzo 3,
Kama isingekuwa hivyo hadi kesho Mungu angekuwa nasi uso kwa uso tena hata maswali yako yasingekuwepo. Hakuna mwanadamu anaweza kumuona Mungu akiwa katika utukufu wake akaishi,Exodus 33:20 “man shall not see me and live.”


Wapo waliojaribu kuomba kuonana nae waliishia kukimbia wenyewe (kutoka 19), Hata Musa mwenyewe aliishia kuona utukufu wake tu.

Shetani alichojaribu kufanya ni kuwashawishi wanadamu kupitia madhehebu baadhi kudharau agano la kale huku akijua fika kuwa huko tena kupitia kitabu cha Mwanzo ndio kuna siri ya majibu ya maswali yako na yeye ndio chanzo cha hapa tulipo.
Ni vigumu kujua kwa nini Yesu alikuja kama hauelewi sababu ya kufika hapa tulipo.

Lakini siku ya kiyama watakaoshinda watabadilishwa miili iliyo na mwelekeo wa dhambi ili tufae kuwa pamoja na Mungu Mbinguni
(i korintho 15:52,1 Thessalonians 4v13-18)

lakini tukifanikiwa kuvuka MAHAKAMA ya haki (Hukumu ya Mwisho) Maskani ya Mungu itakuwa pamoja na wanadamu mkuu, (Ufunuo 21:3)
usiwe na wasiwasi utajibiwa maswali yote maana utakuwa nae kila siku.

naamini nimetoa mchango kidogo kuhusu hiyo changamoto yako. maelezo ni mengi lakini ni naamini utapewa msaada.

Hii Movie Imeanzia Mwanzo na Kuishia Ufunuo, wengi tunashindwa kufafanua kwa sababu tunaanzia Kwa Yesu bila kujua nini kilitokea hadi yesu (Mungu pamoja na Wanadamu) aje? na vyote viko wazi kwenye biblia. na lengo la vuguvugu lote hili la kikristo ni harakati za Mungu huyu mwenye upendo kumrudisha mwanadamu kwenye hali yake ile ya zamani kabla ya dhambi japokuwa makanjanja wa kidini wamedivert mission na kutanguliza matumbo yao kisha kuwaacha wanadamu bila tumaini hili kuu.

Nakuunga Mkono kuwa maswali yako ni ya Msingi na Unatakiwa ujibiwe na biblia sio kejeli. na kama ulimaanisha Mungu sio mungu.

ahsante,

dhambi ilitokwa wapi? kwa nn mungu aumbe ulimwengu ambao dhambi inawezekana?
 

Jogoo10

Senior Member
Jul 22, 2014
104
195
wala haihitaji elimu kubwa kuhusu uwepo wa Mungu. Mbingu na aridhi na vyote vilivyomo mbinguni, na aridhini vimeumbwa. Na wewe mtoa mada kuna vitu Mungu alivyo vihukumu huwezi kuvizuia, kama kukua kwako, kuzeeka kwako na kufa kwako, hakuna yoyote awezae kuzuia kifo au uzee au ujana, inashindikana sababu hizi ni baadhi tu ya kazi za Mungu. Na sio tu asioonekana ni Mungu tu wapo majini na malaika, hata upepo. Pia vipo vipo vitu vilivyotengenezwa na watu havionekani, mfano umewe tunaona unawasha taa, tv, radio na kadhalika, lakini wenyewe hauonekani, na vipo vingi mfano wa hivi, je unaamini uwepo wa roho ndani ya mwili wako? Iko siku itakufikia utapokutwa na mauti utapata majibu yote ya maswali yako. Ww hauna tofauti yoyote na ibilisi una hasara kubwa.
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,634
2,000
Mungu ni roho. Wewe una roho. Ulishaiona? Huwezi kuona au kugusa roho. Roho yako ni kipande cha roho ya roho kuu iitwayo Mungu. Mungu ni creator lakini uliona wapi ndege au meli ikiundwa na roho? Kinachofanyika ni binadamu kupitia roho yake ikiunganishwa na wazo au thinking anaumba vitu mbali mbali. Ukitambua Mungu yuko ndani mwako hutahangaika hata kidogo. Ukitambua roho yako ni Roho ya Mungu aliye hai utafanya maajabu. Ukitambua creation zote zinatokana na uwezo wa kufikiri ambapo wazo kama ilivyo roho ni spirit basi utakuwa umeujua ukweli unaondikwa kwenye vitabu vyote vya dini. " Truth" Roho is infinite, thought is also infinite.
Huwezi kuujua ukweli huu misikitini wala makanisani maana pamoja na kwamba hizo ni institution zinazohubiri neno la Mungu, kamwe hawawezi kukuambia the truth kwani ukijua unaweza usiwasikilize tena.
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,634
2,000
Dhambi zetu zikikutana na utukufu wa Mungu tutakufa.

Kufa ni natural process. Kila kiumbe chenye uhai kinapswa kufa .Hii ni universal law kama ilivyo law of motion ya Newton.Dhambi ni negative thinking ambayo inaproduce negative results. Dhambi ni kuikosea roho ya Mungu iliyopo kwenye mwili wa mwenzio. Roho ya Mungu iko kwa kila mtu.Omnpresent. Unaposema dhambi itakuuwa uelewe kwamba umebadili roho yako ikawa negative kinyume na purpose yake. Ukifa kutokana na hilo ujue kilichokuuwa ni mawazo yako baada ya kupata matokeo negative ya wazo lako la kutenda hiyo dhambi.
Jinsi ya kutokana na madhara ya negative thinking pamoja na matokeo yake ni kuingiza positive thinking ambayo ndiyo wengine wanaita kuungama na kutubu dhambi ili kuirudisha roho kwenye njia yake.

Hii pia ni sheria au kanuni kwamba positive na negative haziwezi kukaa mahala pamoja. Love and hate can not co exist.Ubarikiwe
 

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,762
2,000
Mwaweza sema mengi na kuuliza BUT ukweli ni huu

MUNGU MWENYEZI yupo na shetani yupo, Kiama kipo, Jehanamu ipo na Peponi/Mbinguni/Paradiso ipo...

Tambua kwamba Peponi kwahitaji watu na Jehanamu pia kwa hitaji watu..pamoja na ubishi ubishavyo you have to choose moja kati ya viwili...
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,634
2,000
Mwaweza sema mengi na kuuliza BUT ukweli ni huu

MUNGU MWENYEZE yupo na shetani yupo, Kiama kipo, Jehanamu ipo na Peponi/Mbingini/Paradiso ipo...

Tambua kwamba Peponi kwahitaji watu na Jehanamu pia kwa hitaji watu..pamoja na ubishi ubishavyo you have to choose moja kati ya viwili...

Jehanam au Mbinguni ni concept za kukufanya usitende dhambi. Kinachotokea ni ulimwengu wa roho ambapo roho zote hurudi. Zinarudi kwenye roho kuu ila roho kuu haipokei roho iliyoenda kinyume na uhalisia wake.All negative oriented spirits will not contact positive spirit which is what we know as God.

Ndio maana tunaambiwa tuziombee maana zenywewe hazina tena uwezo wa kujibadili ziwe positive.Hapa ndio concept ya shetani na himaya yake inapolala.
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,612
2,000
Miaka ya Kale mwenyezi Mungu alijithihirisha uso kwa uso mbele ya binadamu (Manabii); ilikuwa hivyo kwa Mussa, Ellia, Ibrahim na wengine wetu tu.

Dhambi ilivyozidi duniani akajitenga na uso wa dunia; maana yeye ni mwenye HAKI.
 

Able man

Senior Member
Nov 22, 2020
109
250
je alijua wengi watamlilia sana?

je watamuuliza sana maswali mengi?

je ameamua tu?

au hayupo?

Msaada wenu tafadhari mwenye idea na hili suala.

Japo najua kuwa yeye mwenyewe ndiye alipaswa aulizwe swali hili
Tangu lini mungu akawa Mwenyezi?
 

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
12,241
2,000
Haifai mtu mzima kuuliza swali kama mtoto wa darasa la nne, unauliza bila kufikiria. Na kwa viswali hivi vinavyodhihirisha udhaifu wa IQ yako nikikujibu kiroho kama ulivyouliza hutaelewa (kwakuwa mungu ni roho), ila jipe jibu kwa kujiuliza swali mbadala.
hata mtoto wa std 4 anaweza kuwa na upeo na akili kuliko huyu mwehu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom