Kwanini mwanamke ukimuambia ukweli ananuna?

Hawa watu sijui wameumbwaje,wakwangu ukimwambia leo umebugi kupika vizur ananuna kama lowasa na matokeo ya urais
 
naona umeamua kuonyesha umashuhuri wako katika kupiga mti haya subiria pm ila ulipie tangazo lako mkuu.
napita kwa utani tu
 
Mimi nimejifunza kitu hapa: kujiajiri raha sana..u decide when you go to work!

Asante mkuu uroto
 
Last edited by a moderator:
hahaha yani apo naona umetaka kutuambia kua unapenda kugegeda na hua hauna mchezo kwenye kugegeda,,hongera mkuu
 
Genye zimempanda uvumilivu umemshinda hana lolote huyo mkunyue hadi aongeze siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…