mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,972
yani niache burudani za neymar,messi,coutinho,firmino teh teh
jinga kweli wewe basi kamgegee neymar au messi
yani niache burudani za neymar,messi,coutinho,firmino teh teh
kitufe cha like kipo wapi? bigup dada
Ha ha ha...kipooo...
sema siku nyingine mdanyanye ili aridhike...ila mtu unaachaje kuangalia Chelsea ipo nafasi ya ngapi na imefikaje huko.. ung'ang'anie papuchi..
UNAKOSAJE LABLA LIGI KUU YA UINGEREZA, LALIGA JE??
hapo kwa Chelsea Umenitonesha kidonda Changu.. Nimekosa raha ya kutazama mpira sababu ya kupata matokeo mabovu.. Leo nipo Israel Sijui itakuwaje? Mungu rudisha furaha yangu
yani niache burudani za neymar,messi,coutinho,firmino teh teh
Habari zenu wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?
Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.
Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?
Karibuni
Kweli wewe ni uroto haswaaaa!! Kila binadamu hapendi ukweli unaoumiza, hapo shida ni wewe hukutumia akili tu, usimlaumu binti wa watu
Mbona wewe unaniambiaga unapenda pesa kuliko mimi wala sinuni??!!
Hebu akuache upende zako mpira...
Mi mwenyew hunigegedi huku man u inacheza.
"Kugegeda" hili neno limekaa kiajabu kinoma. Anyway dogo, ni phase tu unapitia. Enjoy responsibly.
Upendo wa mpira na demu wako hauwez kulingana, kila kitu kina nafas yake na kwa wakt wake ktk moyo wako.. Hvyo ucpende kumfanya ajihic km second choice kwako. Alwys mfanye aamin yeye ndio pekee unaempenda, ht km una ukwel wako moyon. Tht s how women want!
vijana wa dot com ni shiidaHawa vijana wanahitaji semina elekezi wajufunze jinsi ya kuongea na wapenzi wao. Kwani ni lazima kuusema ukweli usio na tija?