Habari zenu wana MMU,
Juzi nlikuja kuomba ushauri kuhusu topic tajwa hapo juu baada ya mpenzi wangu kununa na kunigomea kufanya mapenzi mimi sikupanic sana, ila nilimwomba msamaha lakini akasema hayuko tayari kunisamehe mpaka hasira ziishe.
Sasa juzi usiku wa saa 8 akaniamsha akitaka nimgegede, kwakua sikugoma nikampa haki yake na machozi juu imefika asubuhi yuko serious tena,mimi nikaenda kazini, niliporudi akawa amepoa sana, ilipofika usiku wa saa 8 tena akaitaji nimgegede, kwakua sina utani na papuchi, nilimpatia mpaka akaanza kuniomba msamaha kwa hali iliyotokea ile siku ya mpira.
Imefika asubuhi akasema anaumwa sana, hivyo hawezi kukaa peke yake, ikabidi nihairishe kwenda kazini, imefika mida ya saa 4 asubuhi akaitaji penzi, kama kawaida yangu nikampatia.
Imefika mida ya saa8 mchana akaitaji tena,nikampa,na akasema usiku ndo ananisubiri kwa hamu,nlipomuuliza kwanini kila mda anataka penzi? Anasema hali hii itaendelea mpaka keshokutwa eti ananipima kama kweli ile siku ya mpira kama sikua na mwanamke,nikishindwa kutimiza atajua kua nilikua na msichana huyu mwanamke yuko sahihi kweli kwa mitazamo yenu?
Viva barcelona