Kwanini mwanamke ukimuambia ukweli ananuna?

Kwanini mwanamke ukimuambia ukweli ananuna?

Habari zenu wakuu,

Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?

Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.

Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?

Karibuni

Sasa kama unaupenda mpira wa miguu,si ununue mpira wa miguu ukae nao ndani,ili uwe unauangaliaaaa alafu ukimaliza unamgeukia demu wako unaanza kumgegeda
 
mkuu utafananishaje thamani ya mtu na starehe, ina maana huo mpira we ukiugua mpira utakutibu, mpira utakupikia, mpira utakufulia nguo!... ni kweli wengi wetu tunawaacha wapenzi wetu na kwenda mpirani, ila sio kwamba mpira una nguvu kuliko yeye. kwa swali lake hilo ungetafakari kabla ya kumjibu, kwanza ungemwambia thamani yake ni kubwa sana ktk maisha yako na haiwezi kulinganishwa na mpira, ila ungesema kupitia mpira natapa mda wa kujichanganya na rafiki zangu, kuburudisha akili, kuwa na mahusiano mazuri na jamii na kupata watu ambao waweza kuwa msaada ktk mishe za kimaisha... hivyo mpenzi wako angejua na angetambua kuwa ni kweli kuna wakati we kama mwanaume unahitaji kuwa na wanaume wenzako kwa ajili ya kujadili mambo ya kimaendeleo, ukimpa jinu safi kama hilo hutosikia hata siku moja akachukia ukimuaga kwenda mpirani....ila jibu ulilompa ni baya, ina maana hata babu yako, bibi yako, wajomba zako, shangazi zako huwathamini kama unavyouthamini mpira!? kuwa makini mwanamke anahitaji mwanaume mwenye busara kuanzia majibu yake na mengieyo, waweza kumpoteza kirahisi hivyo maana kama kuna mtu anamfatilia anaweza kumkubalia maana atakuwa keshaanza kuhisi kuwa kwako huna muelekeo hata wa kumuoa bali kumtumia tu. kama mwanaume hakikisha kila neno litokalo kinywani mwako liwe la kutunza yako kama mwanaume sio unajibu tu kama muimba taarabu
Very true bro!
 
Sawa mkuuuu hili neno hutumika humu jamii forum saana

Nahisi demu wako mlipatana humu jf ahahahah

Sawa mkuu

hahaaaa,siwez kutafuta demu Jf,wa humu asilimia kubwa Masister duu
 
Habari zenu wakuu,

Nina mpenzi wangu ambaye huu ni mwaka wa pili tupo kwenye mahusiano, Juzi usiku baada ya kumgegeda, akaniuliza hivi baby kwanini unapenda mpira wa miguu kiasi kwamba hua unaniacha peke yangu wewe unaenda kwenye mpira?

Nikamjibu kua "baada ya Mungu, wazazi ndo mpira kitu ninachokipenda"akaniuliza "kwahiyo mimi na mpira kipi unakipenda?"Mimi nikamjibu toka moyoni kwamba mpira kwanza wewe ndo unafata, cha ajabu tangu juzi amekasirika na amesema kama nahitaji kumgegeda, niugegede mpira.

Swali langu ni kwamba hivi ni kosa kumwambia mtu ukweli wa kutoka moyoni?

Karibuni

Ni kwa sababu wanawake asili yao ni magumashi, yaani wanaishi katika fairytales kwao kila kitu ni fairytale. Wanasali kila kukicha wapate mwanaume wa kuwatunza na kujishebedua mjini. Mtu hauna elimu ya kutosha, haujitumi, umefanya ukahaba mpaka wanaume wamekuchoka sasa unataka kuolewa na mtu tajiri ili uwaonyeshe wenzako, ili iweje? Yaani kwao (baadhi yao) kujituma ni shida, wanataka kuchuma tu na kuwafanyia waume zao ushirikina ili wasiwaze mbali. Mwanamke wa kimagumashi kwa kweli ni sumu na wengi wao wpo hapa Dar. Almost 90% of them.
 
Hata mi nimegundua ukitata kumgegeda kwa haraka we mdanganye na kumwambia vule vitu ambavyo unajua lazima hatavioenda. Ukisema ukweli mfano ukasema unamchumba basi utasikia "unanifanya mi chombeza time" kwa hiyo bora umdanganye afurahi.
 
Siku zote mwanamke anapenda umuongopee kuliko kumweleza ukweli na anaridhika kabisa licha ya kwamba anajua hali halisi ulivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom