OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,224
- 13,074
- Thread starter
-
- #81
Ahsante sana mkuuKwamujibu wa kamusi,
Izi maneno mbili ni synonymous
Of each other (yaan yana maana Sawa)
Ila kwa kuongezea nyama kidogo
KAHABA:huyu ni MWANAMKE ambaye yuko addicted na
NGONO anaeza fanya ata na MBWA!!!
kweli, kazi yenu ni kutii na kazi yetu ni kuwapendaHulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
Lakini kaka nyie hamtupendii[emoji20][emoji22]kweli, kazi yenu ni kutii na kazi yetu ni kuwapenda
tuwapende ili?????[emoji23]Lakini kaka nyie hamtupendii[emoji20][emoji22]
Nami nikuulize,Naomba nikuulize na wewe kuna tofauti ipo kati ya kupenda na kutamani?
nani kakudanganya?Lakini kaka nyie hamtupendii[emoji20][emoji22]
Kwani akili ni nini?Kwa kifupi usisumbuke na akili za wanawake
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu[emoji58]tuwapende ili?????[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]kakaaanani kakudanganya?
labda vitamaa tu lkn sisi bila nyie life ngumu sana
[emoji23]Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuu[emoji58]
Afu wewee...ngojea tuu[emoji57][emoji23]
nangojea tuuuuuuuAfu wewee...ngojea tuu[emoji57]
Hii ndo zile debate za vyuoniMwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya utajiri au pesa ?
Vipi kuhusu wake za matajiri wanaotoka kimapenzi na masikini ?
Je mwanamke anampenda mwanaume kwa sababu ya shoo nzuri na pumzi kunako 6*6 ?
Je vipi kuhusu ma askari na wapiga gym wanaojiua kisa wake zao kuchepuka ?
Mwanamke anampenda mwanaume aliyeanza nae kama rafiki kwa muda mrefu, wakasaidizana mambo mengi kama marafiki, wakafahamiana kwa kina, wakaendana kitabia kisha wakaingia kwenye mahusiano,
Huyo ndio mwanaume anayependwa na kukumbukwa na mwanamke nyakati zote ? .
Swali ni je kwanini mwanamke anampenda mwanaume ?
[emoji23]utakufwaaanangojea tuuuuuuu
kwani hautakufa!?[emoji23]utakufwaaa
[emoji1]Hii ndo zile debate za vyuoni
Jibu kiunagaubaga
kama ulivyo tendwa weweHulka ya mwanamke si kupenda,ni viherehere vyetu tuu na kujipa majukumu yasiyo stahiki zetu...ndio maana vurugu haziishi kwenye mahusiano,.ukisema pesa wapo wenye nazo na bado wanagalagala kwa uchungu wa kutendwa..nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mm kapuku natendwa kikapuku kapuku,..mfyuuu kwendraaaaa em niache mm,.kama ulivyo tendwa wewe