Anawasimamia binadamu katika lipi?Hapana sijakosea, mungu yupo ili kuwasimamia wanadamu ni mtazamo wa wanadamu juu ya uwepo wa mungu.
Nje ya mtazamo wa mwanadamu mungu yupo bila sababu maalum ni kama reality itself.
Nikikuuliza wewe kwanini upo hai utajibu nini?
Ili freewill iwepo inatakiwa Mungu asijue atachoenda kuchagua mtuHakukuwa na error isipokuwa amevipa viumbe free will na ujuzi wa kutambua baya na jema lakini wanatakiwa na anawataka wafanye mema na yule mwenye kushinda huo mtihani atazawadiwa na aliyeshindwa ataadhibiwa.
Kwani mabaya ni mabaya?Kwanini mtu afanye mabaya?
Sidhani kama kuna shida kwenye swali lake linalofanya ashindwe kupatiwa majibu kwasababu kuna vingine vinavyo muhusu yeye havijui.Wahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka au hela iliyo mkononi ina thamani kuliko iliyopo kibindoni au hisani yaanzia nyumbani (charity starts at home) au ndege aliyekuwepo mkononi ni bora kule mia waliopo porini (a bird in hand worth hundred in bush).
Anza na wewe mwenyewe kujua kwanini upo duniani ??!!--- baada ya hapo you move a step further to ask other related questions.
Upo na maswali mazuri sana, unajitahidi kutoa mifano kabla ya kuuliza ili anayejibu akuelewe vizuri ila nasikitika kukwambia kwamba hayawezi kupata majibu kwa hawa wanadamu wenye fikra ndogo....naamini hata wewe huwezi kujibu maswali haya kwa mujibu wa dini yako labda uyajibu bila kushirikisha dini.Kuheshimiwa Kuna faida nyingi sana...Tena sio Kwa mwanangu TU, natamani niheshimiwe na kila mtu. Kuheshimiwa Kuna faida nyingi ila faida kuu, ni kuwa ukiheshimiwa huwezi kufanyiwa mambo mabaya kama
Kutukanwa,Kuibiwa,Kupigwa,kudharauliwa,Kutengwa,nk. Nk.
Kumbuka sisi binadamu ni social primates ..yani tunaishi Kwa kutegemeana sana.
Turudi Kwa Mungu, yeye anatutegemea sisi? Jibu ni nadhani utasema ni Hapana.
Na kama ukisema ndiyo, Bado swali litabaki kuwa "Je sisi binadamu na Mungu tunaotegemeana, tupo Ulimwenguni Kwa Nini?"
Sasa sidhani utajibu hiyo ndio.
Tuendelee...Kama hapana Mungu hatutegemei...Sasa sisi ametuumba wa Nini??
Mimi binadamu sitegemei Simu ili niishi, lakini nimeunda simu inayowaka,inayotumia chaji,inayotachi(kama binadamu anavyokula na kusali) ili niitumie Kwa faida zangu binafsi kama Kuwasiliana,Kutunza kumbukumbu nk.
Kama simu Haina hizo faida siwezi kuinunua/kuiunda.
Sasa Mungu aliyetuumba sisi wanadamu na hatutegemei, Je ni kwanini alituumba? Tuna faida Gani kwake?
Na most importantly, Je hiyo faida tunayompatia Ina uhusiano wowote na Sababu ya yeye mwenyewe kuwepo???
Usimtishe mtoa hoja.Unatafuta nini!?..namaanisha ukijua kwa nini yupo unapata nini?..unahitaji nini katika hilo?
Kama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwa
sababu kuna vitu ana lack na ili avipate anatuhitaji sisi tumtimizie
Binafsi sikubaliani na swala la uwepo wa MunguKuna mapungufu makubwa tunayoyaishi kumuhusu Mungu , ambayo yaliwekwa na wezi wachache wenye mamlaka hayo ili kumtambulisha Mungu kwa ajili ya maslai yao binafsi , Mungu tunae muishi ni feki japo kuna kaukwel flani kumuhusu japo mengi tumepotoshwa kwenye vitabu vya din kwa malengo ya watu wachache , upo sahihi kabsa kuona mapungufu ya Mungu kwa maudhui ya mwandishi yalivyomwainisha kwenye vitabu vya din , ila Mungu yupo hata kabla ya chochote ikiwemo din , na watu walipata grace ya kumfahmu wakaweka maono yao katika gumbo mbalimbali kwa lugha tofauti kiyunani kigiriki , kiarabu , kichaga kisambaa na nk , sasa wajanja wachache wakakusanya hayo magumbo na kujumuisha kuwa sehemu moja ili wafanikishe maslai yao , kumbuka hayo magumbo yalifunuliwa kwa watu tofauti na jamii tofauti na tamaduni tofauti na kwa ufunuo tofautina kwa wakati tofautitofauti , na ndio maana unaona kma yanapingana kimantik.
tumia lugha nzuri unapoongea na mimi tafadhali, ndio nimeshajaribu na ndo my lifestyle.Shog wewe
Huja jaribu Bado alafu una nambia Ni try it.
Majibu gani italeta?? umesha pata formula ya kutengeneza gari au injini la meli??
Umesha jua kwa Nini mashoga Yana shamiri??
ni hoja gani zinasababisha usikubaliane ? naomba hoja hizi ziwe nje na taratibu za kidin kwasababu mimi sio mfuasi wa din yoyote .Binafsi sikubaliani na swala la uwepo wa Mungu
Sio katika perception ya kidini bali katika dhana nzima ya uwepo wake imekaa kimagumashi.ni hoja gani zinasababisha usikubaliane ? naomba hoja hizi ziwe nje na taratibu za kidin kwasababu mimi sio mfuasi wa din yoyote .
Na kama hapati faida...Inamaana huku kumuabudu,kumsifu,kumlilia,kumuimbia ni kazi bureKama kuna faida yeyote anayoipata basi huyo Mungu sio mkamilifu na hajitoshelezi, kwa
sababu kuna vitu ana lack na ili avipate anatuhitaji sisi tumtimizie
Kwahyo pasipo binadamu hakuna muda?ukisema yeye, unabinafsisha uwezo mkuu wa nguvu kuu na intelligence kuu iliyoweka mipaka na isiyokua na mipaka , kitu chenye cause lazima kiwe frem na mda flan ambapo pia mda ni illusion , ambayo ni man made illusion.
Ukisema Mungu haitaji sababu ya kuwepo, Kwahyo Mungu Hana purpose yoyote kwenye Huu ulimwengu? ....Inamaana hata asingekuwepo, kusingekuwa na Hasara yoyote?Kulingana na imani za dini, Mungu alikuwepo, yupo na ataendelea kuwepo (haitaji sababu ya nje ili awepo)
Kama hilo jibu halijitoshelezi kwako, basi inabidi uipinge hiyo imani na kukataa kabisa uwepo wa Mungu.
Tuta fikaje huko?Upo na maswali mazuri sana, unajitahidi kutoa mifano kabla ya kuuliza ili anayejibu akuelewe vizuri ila nasikitika kukwambia kwamba hayawezi kupata majibu kwa hawa wanadamu wenye fikra ndogo....naamini hata wewe huwezi kujibu maswali haya kwa mujibu wa dini yako labda uyajibu bila kushirikisha dini. Narudia kusema una maswali mazuri sana na ya kufikirisha zaidi. Majibu ya kuridhisha tutayapata kwa Mungu mwenyewe tukifika
Sawa asante, nimekuelewa....Naomba SABABU ZA UWEPO wa munguKwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini?
Huwezi ukahoji uwepo wa nature au maumbile yake namna ilivyo. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipo
Kwa mfano, huwezi ukahoji kwa nini wewe umezaliwa mwanamme au mwanamke ila unaweza ukahoji sababu za wewe kuzaliwa mwanamme au mwanamke.
SI KILA SWALI ULILONALO KICHWANI KWAKO, LINA MAJIBU AMBAYO YANAWEZA KUTOLEWA NA MWANADMU
Mfano wangu wa kiti hukuuelewa...Hapo nilisema hivyo kuwaKwa maoni yangu majibu yatatoka kwenye hii statement yako:
"Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti"
Aliyeumba viti ana thamani kuliko viti, aliyeumba ulimwengu kwann thamani ya ulimwengu iwe kubwa kuliko ya aliyeumba ulimwengu?
Back kwenye swali lako la kwann MUNGU yupo? Turudi kwenye mfano wako wa kiti, kwann kiti kipo? Binadamu anajua ni kwann kiti kipo ila kiti kinajua kwann kipo? Jibu lako linaweza kuwa kiti hakina utashi wala ufahamu hakiwezi kujua kama kipo, kama suala ni utashi na ufahamu, Kama jinsi ambavyo unakifahamu kiti na unafahamu kuwa hakina uwezo wa kukuchunguza wewe uliyekitengeneza sababu hukukipa huo uwezo Na je, alipotuumba alitaka tuwe na ufahamu wa kiwango cha kufahamu kwann yeye yupo? Kama hakutaka na hakutupa kiwango hicho cha ufahamu tutapata jibu la kwann yupo? Kama alitupa kiwango hicho cha ufahamu basi ni suala la muda kufahamu kwann yupo, nyakati zitasema ila kwa sasa bado sababu huenda kuna mengi ya kufahamu kabla ya kufahamu kuhusu sababu za uwepo wake. Huenda tukifahamu siri ya kifo tutajua kuhusu uwepo wa MUNGU.
Concept ya MUNGU kwann ipo? Ipo kwa sababu ya baadhi ya majibu ambayo binadamu anayahitaji ila hana hivyo anajikuta anamtafuta MUNGU, ni suala la kiimani. Mpaka pale majibu yatakapopatikana ndipo hii imani inaweza kupotea. Sasa sababu ni suala la imani utalijadili vipi nje ya imani? Na ukiweka imani jibu la swali lako ni simple sana, Sisi tupo kumwabudu aliyetuumba na fikira zetu ni ndogo sana kuuchunguza sababu za uwepo wake. Hata ukiwa na midomo elfu moja na zaidi huwezi kumaliza kuuzungumza ukuu wake. Jibu la kiimani.
Kwa nini JUA lipo? Kwa nini linatokeza Mashariki na kuzama Magharibi na si Kaskazini au Kusini? Huwezi ukahoji uwepo na maumbile ya nature. Nature inakuwepo tu pasipo ridhaa yako na baada ya hapo unachotakiwa kuhoji ni SABABU ZA UWEPO WAKE na si kwa nini ipona kwanini yupo?
Sababu pekee ya uwepo wa Mungu ni Ibada!Sawa asante, nimekuelewa....Naomba SABABU ZA UWEPO wa mungu
ni kitu gani kilichopangilia mfumo wa fahamu , mfumo wa mmengenyo wa chakula , na nk je huo mpangilio hauna intelligence ya aina yoyote?Sio katika perception ya kidini bali katika dhana nzima ya uwepo wake imekaa kimagumashi.
Sababu kuu ni kuwa hakuna uthibitisho wa Mungu kuwepo