Si dikteta thus walipewa mda wa kutubu wakagoma.S
Sasa huo sio udikteta? Yani kiumbe kimehukumiwa kabla hata hakijazaliwa.
Vipi jini akiamua kutubu na kumrudia mola wake? Hasamehewi?
Au majini hawawezi kutubu? Hawana free will?
Sababu katoka uzao wa laana uendelea kulaanikaSasa jini aliezaliwa leo kapewa lini muda wa kutubu?
We jamaa mbona unauliza mwanadamu maswali yanayomuhusu Mungu!? Ni nani aliwahi kukaa na Mungu mpaka akujibu maswali yako.NB: Huu mjadala sio wa kubishana kama mungu yupo au hayupo.
Hapa ninataka kuwauliza Kwa upole wale tunaoamini tayari kuwa Mungu yupo...Je, kwanini yupo?
Yaani siulizi mungu ametokea wapi/ametokanaje...
Hapa naulizia Kuna ulazima Gani wa yeye kuwepo? na kwanini yupo?
Mfano mtu akiuliza kwanini viti vya kukalia vipo, huwezi kujibu kwasababu mbao zikikatwa na kuchongwa vizuri zinatengeneza kiti, hapa utakuwa umejibu viti vinatokanaje....jibu zuri ni kwasababu vinatufanya binadamu tukae na kupumzika, hivyo tumevitengeneza...Inamaana bila kuwepo binadamu wenye shida ya kukaa basi viti visingekuwepo...
Kwahyo napouliza kwanini Mungu yupo? Siulizii chimbuko lake ametokana na Nini, ila naulizia ni sababu Gani iliyompelekea/iliyomlazimu yeye awepo.
Kuna wanaosema Mungu yupo ili auumbe ulimwengu, kwahyo function kubwa ya Mungu ni kuumba na kuendesha ulimwengu.
Hilo jibu kwangu halitoshelezi kwakuwa, Ningeuliza kwanini Huu ulimwengu upo?, Kwani Kuna ulazima ulimwengu uumbwe?
Kama Kuna ulazima wa ulimwengu kuwepo, basi Inamaana ulimwengu una thamani kuliko Mungu, kama binadamu tulivyo na thamani kuliko viti. Maana sisi ndo tumeleta viti, basi Ulimwengu umemleta Mungu.(yaani kama ni lazima ulimwengu uwepo, basi ulimwengu ndio umemlazimu Mungu awepo kama ambavyo Nyumba zinawalazimu mafundi ujenzi kuwepo,Simu zinawalazimu wauza simu kuwepo,Magari yanawalazimu madereva kuwepo, wahalifu wanalazimu polisi kuwepo nk.)
Lakini common sense inakataa.
Ingewezekana TU kusiwe na chochote, Hamna Dunia,hamna,Nyota,Hamna sayari, na Hakuna Mungu.
Sasa kwakuwa hivi vitu vipo, Je ni kwanini vipo?
Na kama ingewezekana kusiwepo kitu,Je ni Nini kililazimisha Mungu awepo?
Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe) Je yeye kwanini yupo? Nini kilipekea yeye kuwepo?
Kwanini Mungu yupo?
Alikuwa na uamuzi wa kuumba au kuacha. Alichagua kuumba!Na kama mungu alikuwepo kabla ya Ulimwengu, na hakulazimishwa kuumba ulimwengu (angeamua angeacha na kubaki mwenyewe)
Kwa sababu Yupo!Je yeye kwanini yupo?
Hakukuwa na nini, hakukuwa na kutokea kabla ya Mungu kuumba. Kabla hajaumba alikuwepo Mungu peke yake na kabla hajaumba hakukuwa na nafasi ambapo matokeo unayoyazungumzia yangetokea. Kabla ya Uumbaji hakukuwa na muda wala nafasi. so maswali yote yanayohusu muda na nafasi ni meaningless!Nini kilipekea yeye kuwepo?
Mungu yupo kwa sababu haiwezekani Mungu kutokuwepoKwanini Mungu yupo?
Kwani jini ndio anaepanga kuzaliwa jini? Jini anajizaa?Sababu katoka uzao wa laana uendelea kulaanika
Mbwa uzaa mbwa hawezi zaa mbuziKwani jini ndio anaepanga kuzaliwa jini? Jini anajizaa?
Kama jibu ni hapana, je ni nani anaemuumba jini?
Kama ni Mungu, je huoni Mungu ndio mwenye makosa?
Chukulia mfano wewe ni kinyozi... ujitengenezee sheria kuwa mtu yeyote hatakiwi kuwa na kipara, akinyoa kipara asiingie kwenye saluni yako. Umeshawaambia walinzi wakiona mtu ndani ya saluni yako ana kipara apigwe.
Halafu wewe huyohuyo ukaendelea kunyoa watu vipara kwenye saluni yako... Na ukishawanyoa wanapigwa.
Sasa hapo kosa linakuwa la nani? Wewe unayenyoa vipara? Wanaonyolewa,, au sheria yako mbovu?
Ipo hivi waliopewa uchaguzi wa kuzimu au paradise ni binadamu sababu mlango wa rehema aujafungwa.majini au uzao wa majini wao hawana choice.Mbwa anaezaliwa qlipanga kuzaliwa mbwa? Kama hakupanga, kwanini aadhibiwe kwa kosa ambalo hakuwa na uwezo/choice ya kutokulifanya? (kuzaliwa mbwa)
Maandiko hayana vidhibitisho bali ni imani za watu na imani hapa duniani zipo nyingi kila moja inamkosoa mwenzakoKwa mujibu wa maandiko
Unaangalia iliyo sahihi kwakoMaandiko hayana vidhibitisho bali ni imani za watu na imani hapa duniani zipo nyingi kila moja inamkosoa mwenzako
Nini maana ya neno roho ?Mungu ni Roho
Nguvu yenye uhai isoyoonekana itendayo kazi. Mfano mtu ni muunganiko wa vitu vitatu navyo ni MWILI, ROHO na NAFSI ufanya Kazi kwa kushirikianaNini maana ya neno roho ?
Aseee?? Kwanza jua nimefurahi saaaana! ndani ya Moyo wangu kunipatia hicho cheo tukuka! hujui tu kuwa nina furaha!.. Na kweli cheo iko nina kipenda/Tamani mnoo! Mungu ana jua!Mchungaji hatupo kanisani hapa weka hoja zako sawa zieleweke sio kulazimisha
Mbona meeengi tu yanazurula Mitaani humo!! km hujawahi kuliona jini Basi jua kabisaa huna Nyota ya Mafanikio/Uungu! Jini pia halikutaki?Ww jini umewahi kumuona
1. Wewe umejuaje kuwa ipo wakati ni nguvu isiyoonekana ? Na inatenda kazi zipi ?Nguvu yenye uhai isoyoonekana itendayo kazi. Mfano mtu ni muunganiko wa vitu vitatu navyo ni MWILI, ROHO na NAFSI ufanya Kazi kwa kushirikiana
Inategemea kwako maana ya "maana yoyote" ina maana gani hasa kwako, uwepo wake tosha unaweza kuwa maana ya yeye kuwepo lakini kwako hiyo maana inaweza isiwe maana ya maana.Kwahyo Mungu ni mtazamo tu wa Wanadamu
Nje ya Huu mtazamo Mungu Hana sababu?
Inamaana bila sisi, Mungu Hana maana yoyote?
1.Kupitia elimu ya kiroho,yaani ulimwengu usioonekana.1. Wewe umejuaje kuwa ipo wakati ni nguvu isiyoonekana ? Na inatenda kazi zipi ?
2. Nini tofauti Kati ya nafsi na roho ?
3. Unathibitishaje kuwa mtu ni muunganiko wa mwili, roho na nafsi zinazo fanya kazi kwa kushirikiana ?
Hauwezi kujua usichokijua.Alikuwa akifanya nini katika hicho kipindi?
Anawasimamia juu ya uwezo wa utambuzi wa mema na mabaya.Anawasimamia binadamu katika lipi?
Ukraine kuna massive murders watu wanakufa afu we unasema anatusimamia.
Ukiniuliza kwanini nipo hai jibu ni moja tu
Nipo hai kwasababu ya juhudi zangu binafsi za kuepukana na hatari zinazoweza nisababishia nisikuwepo though active cells nazo zinanifanya nizidi kuongeza number ila zikichoka nitakufa tu