Kwa hivyo kama morality si universal, inatengenezwa na jamii tu, morality ya hiyo jamii haiwezi kuvunjwa na kichaa kwa sababu huyo kichaa hajali hiyo morality?
Kama jamii ina moral code inayokataza kuua, lakini kuna kichaa ambaye ana matatizo ya genetics, kicha kiko genetically, hajali hiyo moral code, naye akamzaa kichaa aliyemritisha kutojali huko hiyo moral code genetically, hapo huwezi kuona kwamba kutojali hiyo collective moral code kumerithishwa genetically?
Magonjwa ya akili yanayoaffect behavior yapo mengi sana. Kwahyo kupin point gonjwa moja au mawii (kwenye >1000) linalosababisha behaviour kuwa immoral...Na kulitumia hilo gonjwa kama Alas! Hense morality stems from those genes that cause that disease....it's just bad science.
Kama hao vichaa wanazaliwa na kukua katika jamii ambayo kila mtu ni kichaa, then they will be perfectly moral.
Morality does not care huyu ni kichaa yule ni professa, Morality is just a set of principles accepted by a certain society.
So, kama jamii tukikubaliana it is immoral kuongea kwa kigugumizi..na watu wakazaliwa na kigugumizi basi kwetu watakuwa immoral na wakizaa wenye vigugumizi yes watakuwa immoral.
But you are missing the point...really hao wakienda jamii ya wenye vigugumizi wenzao watakuwa moral.
Na since morality changes over time, hata hao vichaa unaosema wauaji na immoral, kama ikitokea circumstances zikapelekea jamii ikaja kuaccept kuua then watakuwa sio immoral tena.
So morality actualy is subjective not objective.
Na hiyo collective moral code uliyoongelea ya jamii fulani inaweza kuwa immoral kwa collective moral code ya jamii nyingine, kama ambavyo ushoga ni immoral middle east and moral huko USA.
Btw, Morality covers a lot of aspects in life. Most of those aspects haziwezi kurithishwa generically.
Genetics utaishia kuongelea psychopathy, kuua, violence nk. But that really is not even 1% of what morality encompasses.
Morality even cares whether laughing at a funeral is right or wrong, whether sitting in a bus when an old lady is standing is right or wrong, whether telling a girl you love her on the first date is right or wrong..
So using that <1% of morality issues that can be affected geneticaly to justify that the whole beast of Morality is a genetic thing, , , its not just bad research. Its a bad arguing.