Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,498
- 151,717
Hapo umefanya kosa la kimantiki (logical fallacy) inayoitwa "logical non sequitur.Lets use logic shall we?
Logicaly if A =B na B=C that means A=C hivyo kama
Nyama ni source ya protein na maharage pia ni source ya protein hii ina maanisha nyama ni maharage?
Are they logicaly consistency?
Yani, umeunganisha mambo ambayo hayana muungano wa moja kwa moja.
Umelinganisha nyama na maharage kwa muktadha maalum wa protein, halafu ukatoka kwenye muktadha huo wa protein na kuzilinganisha nyama na maharage moja kwa moja.
Umefanya makosa ya kimantiki ya kutoka kwenye mlingnisho mahsusi, ukajitoa kwenye mlinganisho huo mahsusi na kwenda kwingine.
Ni sawa na kusema.
1. Rais wa Tanzania ni mwanamke Mzanzibari.
2. Fatma Karume ni mwanamke Mzanzibari.
3. Fatma Karume ni Rais wa Tanzania.
Premise 1 na 2 zote ni sahihi, lakini, unavyoziunganisha kwenye conclusion 3 unafanya makosa kuunganisha vitu ambavyo havina muungano.
umesema.
1. Nyama ni source ya protein
2. Maharage ni source ya protein
3. Maharage ni nyama
Ukisema hivyo utaweza kusema.
1. Joseph ni mtoto wa mzee Cheyo
2. Joyce ni mtoto wa mzee Cheyo
3. Joseph ni Joyce
This is not sound logic. This is logical non sequitur.
Fallacy of non sequitur | logic | Britannica
Other articles where fallacy of non sequitur is discussed: fallacy: Material fallacies: (7) The fallacy of non sequitur (“it does not follow”) occurs when there is not even a deceptively plausible appearance of valid reasoning, because there is an obvious lack of connection between the given...
Non Sequitur: Definition & Examples | Logically Fallacious
Non sequitur: a logical fallacy where the conclusion doesn't follow from the premises. Learn the definition, see examples, and understand why it weakens arguments.