Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Mungu siyo jina. Mungu ni cheo kama vile Rais. Pia Mungu hakummaliza Shetani sababu alitaka ifanyike fair trial. Kummaliza tu ingekuwa sawa na Lynching. Na hata wanaomuunga mkono wangemshangaa.
Well said👍soma 38 na 45. Iko well detailed
 
Swali la kwanza linaonyesha una upeo finyu wa kufikiri. Kwamba kwa nini aitwe Mungu na si jina jingine!!? Ungependa aitwe nani labda? Mfano kwa nini mama yako umwite mama na sio jina jingine? Anyway MUNGU sio jina bali ni sifa, ok?

Kwamba kwa nini hakumuua shetani!? Hayo ni matakwa yako, lakini Mungu alichagua kumwadhibu kwa kumfukuza mbinguni. Mwanadamu naye alinunua kesi pale alipoamua kumuasi Mungu na kuisikiliza sauti ya shetani. Kwa hiyo haya ni mateso ya kujitakia, kwa nini alaumiwe Mungu?
 
 
kwanini ilikuwa hivyo na sio tofauti ili kumaanisha hiki kinachomaanishwa?
Walioeka hivo viwakilishi wakaandika vitabu na kufundisha watu kua hivyo, waweza kutafsiri upendavyo nawe pia.

Usingoje kuambiwa mengi ni propaganda tu.
 
Ulimwengu umeanzishwa na aliyeuanzisha....anapanga atakalo.....ikiwa bosi wangu tu siwezi kumpinga katika majukumu anipangiayo sembuse aliyeuanzisha ulimwengu?!!!!


Shetani ni UASI na MATENDO yote yanayokwenda kinyume na "program" za ustawi/ubora wa mwili wa mwanadamu.....

Wanasema kuna "tukufu 3"...TRUTH...LOVE.... WISDOM....kinyume na hivyo vitatu ndio USHETANI WENYEWE.......

Kama lilivyo jua huwa linachomoza kila asubuhi na halikosei kuchomozea magharibi basi hata muumba jua alimuumba shetani ili ajaribu kuuharibu mfumo bora wa maumbile....aliharibu jua na "lichomoze kutokea magharibi" sasa binadamu katika ukamilifu wa akili na umbile lake akapewa utashi....na maelekezo kuwa ampinge shetani asishiriki katika huo uasi wa kutaka kulichomoza jua kutokea magharibi.......binadamu atakaye mtii shetani basi amekuwa ni rafiki yake na ATAPEWA ADHABU KAMA YA HUYO MUASI SHETANI.....

Fikiria jua likichomozea magharibi ni vipi utaratibu wa dunia na ustawi wake utakavyokuwa?!!!



***************

Never give wisdom to unworthy because it's unfair to the knowledgeable
 
 
Mungu yupo nje ya time dimension.

So kifupi haeleweki na hatokaa aeleweke.

Ukitakaa uwe kichaa endelea kutaka kumwelewa.
Si kweli kuwa HAELEWEKI ukitaka kuishi kibusara....


Anaeleweka....vyovyote umuitavyo....ila ukiitambua thamani ya binadamu/ulimwengu na ubora alionao/ulionao basi yatosha tu kumjua na kumsifu aliyewaumba wanaadamu na ulimwengu.....
 
Ngoja siku mkionana umuulize hayo 'maswali' ambayo mara nyingi huuliza vichanga wanaoanza kujifunza kufikiri
 
Maandiko yanamzungumzia shetani kama nani na kwa mfumo upi?
 
Kama shetani ni roho... Sawa.
Unataka kusema Mungu muweza wa yote, Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hawezi kuua roho?
 
Kwani wapi Mungu alijitambulisha kuwa yeye jina lake anaitwa Mungu? Na hata kama tunamwita Mungu, kwani kuna shida gani kumpa utambulisho huo, alimradi kila tunapoita hilo jina yeye ndio awe mlengwa?
 
Mimi sikuchagua kuwa Tanzania.
Mimi sikuchagua kuwepo era hii.
Mimi sikuchagua hata kuja duniani ama nisije.

Therefore...
Free will ni illusion tu.
 
Mungu yupo nje ya time dimension.

So kifupi haeleweki na hatokaa aeleweke.

Ukitakaa uwe kichaa endelea kutaka kumwelewa.
Haeleweki? Afu habari za Kuwa nje ya time dimension ni mafundisho labda..

Au jamani haeleweki tu kwasababu hayupo maana huu utata bhan...
 
In short dini ni kisingizio Cha binadamu kukosa maarifa. Mtu mwenye akili hawezi kuamini story za Mungu na shetani, ni hekaya za watu wa kale tu ambao hawakujua hata jua linaenda wapi usiku.
 
Mbona naona majina ya Ki-Israel tu?

Tuseme kulikua hakuna wanadamu wengine duniani huko?

Ninakotoka wanamuita RUWA MANGI!

Ujinga mtupu huu!

Wanadamu created God with their own image na kumuita God

Fvck GOD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…