Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

Budha hajawahi jiita Mungu acha uwongo. Fuatilia dini za wenzako ukristo sio dini ya kwanza na sio ya mwisho, how do u know ni dini ya ukweli na ni ya Mungu wa ukweli na wengine ni wa uwongo
Mungu ni MMOJA tu, wengine wote ni miungu!!!

Njia ya Mbinguni ni Moja tu, Yesu Kristo,zingine ni njia fake zinazoelekea upotevuni, mautini, Jehanum.

Amen
 
Nyie ni watu wabaya sana.

Mnajijua nyie tu.

Yaani watu wa dini mnataka chenu tu mlichoambiwa na sio kuskiliza cha wengine.

Mko tyari hata kuuwana kisa tu ulichojazwa upande wa imani yako.

Hvi unahabari kuwa huyo Yesu (mungu wako) nae anajumuishwa /anaitwa ni miungu kwenye imani za dini nyingine kama wewe ulivyowaita ?
Nakuambia hivi,

Yesu ndiye Mungu njia pekee ya Kweli na Uzima.

Nimethibitisha Hilo, anaishi ndani yangu.

Amen
 
Nakuambia hivi,

Yesu ndiye Mungu njia pekee ya Kweli na Uzima.

Nimethibitisha Hilo, anaishi ndani yangu.

Amen
Wewe unaulizwa kitu, unaanza kuhubiri.

Tofauti na ujauzito, Inawezekana vipi kiumbe mmoja akaishi ndani ya kiumbe mwingine?

Na tutajuaje kama kweli anaishi ndani yako na sio tatzo la psychology tu ambalo umesababishiwa na mapokeo ya kidini?
 
Nakuambia hivi,

Yesu ndiye Mungu njia pekee ya Kweli na Uzima.

Nimethibitisha Hilo, anaishi ndani yangu.

Amen
Kwanza hata hujanijibu nlichokuuliza.

Nmekuuliza kuwa tunajuaje hilo kuwa kweli yupo ndani yako!?
 
Nakuambia hivi,

Yesu ndiye Mungu njia pekee ya Kweli na Uzima.

Nimethibitisha Hilo, anaishi ndani yangu.

Amen
Hujanijibu hata hili pia

"Hvi unahabari kuwa huyo Yesu (mungu wako) nae anajumuishwa /anaitwa ni miungu kwenye imani za dini nyingine kama wewe ulivyowaita?"
 
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Swali la kwanza la kwanza halina mamtiki.

Hata wanaokujibu wamelikurupikia tu.

Hivi kwa mfano nikikuuliza kwanini sasahivi na mwaka 2023, kwanini isingekuwa mwaka 500 swali kama hili unawezaje kulijibuje ?

So, swali la kwanza halina mantiki ya kimsingi.

Ila swali la pili la kuhusu shetani hilo lina sound, lakini pamoja na ku-sound hakuna mtu anaeweza kukupa majibu ya maana zaidi ya janja janja tu.

Kidogo waislam wanaweza kukupa jibu lenye logic,ila wakristo watajing'ata ng'ata tu
 
Wewe unaulizwa kitu, unaanza kuhubiri.

Tofauti na ujauzito, Inawezekana vipi kiumbe mmoja akaishi ndani ya kiumbe mwingine?

Na tutajuaje kama kweli anaishi ndani yako na sio tatzo la psychology tu ambalo umesababishiwa na mapokeo ya kidini?
Shetani anakaa ndani Yako, unaweza kuthibitisha Hilo ewe masonry mwabudu shetani?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa UPEPO?
 
Unaweza kuthibitisha uwepo wa UPEPO?
Kuthibitisha uwepo wa upepo unaweza kufanyika kwa njia kadhaa:

  1. Kuhisi Upepo: Unaweza kuhisi upepo ukipepea kwa ngozi yako au kwa kugusa vitu vinavyotikiswa na upepo kama majani au matawi ya miti.
  2. Kutazama Athari za Upepo: Angalia namna upepo unavyosababisha vitu kusonga au kugeuka kama bendera, milango ikifunguka, au miti ikipinduka.
  3. Kutumia Kifaa cha Kupima Upepo: Kuna vifaa vya kupima upepo kama vile anemometer ambavyo hutumika kupima kasi na mwelekeo wa upepo.
  4. Kuchunguza Taarifa za Hali ya Hewa: Taarifa za hali ya hewa za mamlaka husika zinaweza kuonyesha kasi na mwelekeo wa upepo katika eneo lako.

Pia kama utataka kuthibitisha kwa njia za kimaabara

kuna vifaa vya maabara vinavyotumiwa kupimia upepo. Hapa kuna baadhi ya vifaa hivyo:
  1. Anemometer: Hii ni kifaa kinachotumiwa kupima kasi ya upepo. Ina kawaida ya vijiti vinavyotikiswa na upepo, na inakadiria kasi ya upepo kwa msingi wa kasi ya mzunguko wa vijiti hivyo.
  2. Wind Vane (Kimbunga kielekezi): Kifaa hiki kinatumika kupima mwelekeo wa upepo. Kina kawaida ya mshale unaopatia mwelekeo wa upepo na inaweza kusaidia kujua upepo unatoka upande gani.
  3. Pressure Anemometer: Hii ni aina ya anemometer inayotumia tofauti ya shinikizo hewani kati ya pande mbili za vijiti vinavyotikiswa na upepo kubainisha kasi ya upepo.
  4. Sonic Anemometer: Kifaa hiki hutumia mawimbi ya sauti ili kuchunguza mabadiliko ya kasi na mwelekeo wa upepo.
  5. Lidar: Lidar (Light Detection and Ranging) inatumia teknolojia ya laser kupima kasi na mwelekeo wa upepo katika anga ya juu.
Shetani anakaa ndani Yako, unaweza kuthibitisha Hilo ewe masonry mwabudu shetani?
Hakuna kitu kama shetani.

Kisa sikubaliani na habari za mauongo hayo ya kiungu ungu, haina maana namuabudu shetani.

Shetani na Mungu ni sehemu ya upotofu/udanganyifu wako tu, sio wangu.

Unaweza kuthibitisha habari za shetani kuwa ni kweli?
 
Kila kabila Lina jina la kumuita Muumba. Mungu ni kiswahili, kiingereza ni God. Ni hofu tu ya binadamu kushindwa kuelewa kuwa mwanzo wa vyote ni nini!! Hiyo hofu ndio inayosababisha hilo jina.
 
MUNGU ANA JINA
“Yehova…. Ndilo jina langu milele” - Kutoka 3:15
ZABURI 83:18, pia Mungu anatuambia kwamba jina lake ni Yehova. Majina “Mungu” na “Bwana” si majina yake binafsi. Ni majina ya cheo kama vile “mfalme” na “rais”.
 
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?

Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na anashindwaje kumuangamiza hata sasa ili hali hakuna anachondwa?
Kwanini mama yako aliitwa mama hakupewa jina jingine.?
 
Mkuu kifupi hakuna mwenye uwezo wa kukujibu sababu iliyopelekea Mungu kutoliangamiza hilo dubwana shetani, na badala yake (Mungu)akaamua tu tuishi nalo.
Ukiangalia mijadala mingi humu jamvini watetezi wa uwepo wa Mungu, hawajafua dafu kuangusha majibu maridhawa, pindi wanapobanwa juu ya nyanja mbalimbali zimhusuzo Mungu,wamekuwa hawajitoshelezi kimajibu.
Ndiyo dunia tuliyopewa..Acha kuitesa akili yako kwa maswali yaso majibu.Ishi.
Mungu aliamua kutufungia chumbani kimoja na joka na akatutaka tulipige na kulishinda, sasa usipolishinda, jehanamu itakuwa makao yako kama inavyosisitizwa.
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Nyerere alipoulizwa juu ya Mungu..alijibu"Tumshike Mungu ili kama kweli tutamkuta baada ya kufa basi tusiwe na hasara, na kama hatutamkuta kama tulivyoelezwa bado tu hakutakuwa na hasara.
 
Back
Top Bottom