Kama ni kweli kwanini Mungu atujaribu na shetani kutupambanisha

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Leo usishangae al shababu anajitoa muanga kumtafuta mungu kwa kuondoa uhai wa watu.

Usishangae Imani za wakristo na waislamu wakigombania mungu sijui ligi Gani ya huko wafikako.

Kama kweli sisi wanadamu kwa nini tunataka kutokufahamu ukweli kuhusu mungu ila tunapenda kujua ya mpinzani kwa jina kama langu.

Kwanini ukifa au kutenda unasema mungu anajua ila akifanya shetani ndio kafanya
 
Ndugu hao wanaojitoa muanga kwa mungu wao wa uongo ila tuliookoka tunamtumikia Mungu wa kweli na Bwana wetu Yesu kristo Amani iwe nanyi

Yakobo 1 : 12-16
Heri mtu astahimiliye majaribu; kwa sababu akiisha kukubaliwa ataipokea taji ya uzima, Bwana aliyowaahidia wampendao.

Mtu ajaribiwapo, asiseme, Ninajaribiwa na Mungu; maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye mwenyewe hamjaribu mtu.

Lakini kila mmoja hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa

Ndugu zangu wapenzi, msidanganyike
 
Leo usishangae al shababu anajitoa muanga kumtafuta mungu kwa kuondoa uhai wa watu. Usishangae Imani za wakristo na waislamu wakigombania mungu sijui ligi Gani ya huko wafikako...
Kama kaka yake na Shetani hauijui sisi ndo tutajua kweli?
 
Leo usishangae al shababu anajitoa muanga kumtafuta mungu kwa kuondoa uhai wa watu. Usishangae Imani za wakristo na waislamu wakigombania mungu sijui ligi Gani ya huko wafikako...
Waislamu na wakristo ugomvi wao sio wa kumgombania mungu. Ni ugomvi wa mungu yupi apewe nafasi katika ulimwengu wa wanadamu. Mungu wa wakristo sio mungu wa Waislamu.

Mungu wa wakristo ni Mungu aliyejifunua kupitia Yesu Kristo. Hao Waislamu mungu wao wanamjua ni yule wanayehaaapa kwa jina lake!
 
Back
Top Bottom