matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Kwanini mwenyekiti hakupe dekeza jina lake?
Hii kali!Muda wake ulishaisha(Expire) hivyo alitakiwa kutupwa mbali(Dispose).
Ni mtindo wa JK kuwatumia wenzie ndani ya chama kama Condom, ikishatumika inaitupa mbali.
Kwa mfano:
1/Samwel Sitta
2/Yusuph Makamba
3/John Chiligati
4/Pius Msekwa
5/Wilson Mukama
*Huu ni wakati wa Mangulla na Kinana kutumiwa kama Condom!!
Muda wake ulishaisha(Expire) hivyo alitakiwa kutupwa mbali(Dispose).
Ni mtindo wa JK kuwatumia wenzie ndani ya chama kama Condom, ikishatumika inaitupa mbali.
Kwa mfano:
1/Samwel Sitta
2/Yusuph Makamba
3/John Chiligati
4/Pius Msekwa
5/Wilson Mukama
*Huu ni wakati wa Mangulla na Kinana kutumiwa kama Condom!!
kwa sababu si muislam