Kwanini Mukama alipigwa chini ukatibu mkuu CCM?

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Nakumbuka alipoteuliwa alianza kazi kwa mbwembwe nyingi, akikomalia propaganda ya kujivua gamba lkn kadiri Siku zilivyoyoyoma akawa kimyaaaaaaaaaa!!! Akimwacha Nape anahangaika vyake.

Nasikia pia yeye ndo alifanya utafiti na kumpelekea JK taarifa ya page nyingi yenye material yaliyopelekea JK kuja na single ya kujivua gamba nimelinganisha na kutofautisha mchango kati yake na Kinana nikaona angalau Mukama alifanya Kitu kuliko Kinana naleo nimemsikia kinana akisema baada ya uteuzi watu wanaisifia sekeetarieti iko safi.

Ebu nisaidieni sababu ya kuachwa Mukama ni nini?
 
Utafiti wake feki alioutoa kuhusiana na chama kuporomoka na sababu zilizofanya kura za JK kupungua 2010 ulikuwa hauna mwelekeo. Propaganda zake za kizamani za kirusi hazijasaidia kuimarisha CCM katika nyakati hizi za sasa. Pia ni fitna zao na mwenzie NAPE.
 
Mukama hakuelewa na mpaka sasa hajui wenye chama ni wakina nani, wenye chama walishamkataa toka awali ila yeye akabaki kama mtazamaji akiangalia mafisadi wakicheza pasi za mwisho
 
Ndo maana ukaitwa uchaguzi! Kuna ujio wa wapya na au kurudi wa zamani! Sio kila kitu unataka kuleta conspiracy! Akili nyingi hupelekea upumbv
 
Ameachwa kwa sababu CCM hawajui majukumu ya katibu mkuu. Walitegemea awe mpiga domo, wakati yeye ni mratibu wa shughuli za chama. Mpiga domo mkuu ni mwenyekiti ambaye kwa bahati mbaya ni mkumbatia madaraka na ndio maana hakuna hata upande mmoja alikoweza kutekeleza majukumu yake kwa umahiri.
 
Kaulimbiu ya ile sekretalieti ni kujivua gamba lkn kadri siku zilivyosonga Mukama na January walionekana dhahiri sio waumini wa dhehebu hilo na kumfanya Nape aonekane kama ana kimbelembele na mlopokaji.
 
Muda wake ulishaisha(Expire) hivyo alitakiwa kutupwa mbali(Dispose).

Ni mtindo wa JK kuwatumia wenzie ndani ya chama kama Condom, ikishatumika inaitupa mbali.
Kwa mfano:
1/Samwel Sitta
2/Yusuph Makamba
3/John Chiligati
4/Pius Msekwa
5/Wilson Mukama

*Huu ni wakati wa Mangulla na Kinana kutumiwa kama Condom!!
Hii kali!
 
Muda wake ulishaisha(Expire) hivyo alitakiwa kutupwa mbali(Dispose).

Ni mtindo wa JK kuwatumia wenzie ndani ya chama kama Condom, ikishatumika inaitupa mbali.
Kwa mfano:
1/Samwel Sitta
2/Yusuph Makamba
3/John Chiligati
4/Pius Msekwa
5/Wilson Mukama

*Huu ni wakati wa Mangulla na Kinana kutumiwa kama Condom!!

Kuongezea hapo mwingine ni Lowasa ktk dili la RICHMOND
mwingine Tambwe Hiza
 
hakuna mtu yeyote honest anayeweza kufanya kazi na mtu kama kikwete. he will throw you under the Bus at any time,t.
Jk does not mean what he says and never ever take him serious.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom