Kwanini mtoto wa kiume kioa/akitaka kuoa msichana/mwanamke aliyemzidi umiri wazazi hawafurahii?

Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2013
Messages
1,615
Points
1,500
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2013
1,615 1,500
Mtoto wa pekee war rafiki yangu alikuwa na mahusiano, hakuwahi kumpeleka nyumbani huyo dada, siku alipougua ghafla ilibidi mama yake apigiwe simu, alipofika anamkuta mka mwana kama mdogo wake wa pili hivi, kha mama kutahamaki, mkwe amemueleza kijana. Kijana amemwambia mama hili ndiyo chaguo langu, kama hutaki ninajiua. Mama imebidi akubali.
Thus way nimesema mapenzi yapokolea huwa yanakosa definition sahihi, unaweza ita upofu nk, lakini ndio hivyo tena.

Ila hapo kilichotakiwa ni kumukabalia tu huyo kijana kwa muda ili kumuepusha na huyo shetani/roho wa mauti, then unafanya utaratibu wa kumfanyia cancelling ili aweze kuondokana na huyo mama mtu mzima, maana akisha loea huko hata uwezo wa kuweza kutongoza mdada wa rika yake unapotea kama sio kupungua sana.

Huwezi jua shetani ana nguvu sana anaweza kujiua, hivyo umakini katika kumzuia unahitajika ili kuondoa madhara.

Na kwa mwanamke mtu mzima sijui anaona fahari gani kutembea na kijana mdogo sana kama mwanae ama mdogo wake wa mbali sana.
 
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2013
Messages
1,615
Points
1,500
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2013
1,615 1,500
Kuna kujimentain na kukeep figure, unakuta umri umekwenda tena mwanumbe wa 34 ndiyo anaonekana mzee kwa tumbo la bia, mdada wa 46 ndiyo gym na make-up kwa sana tu. Kama unampenda mtu hutaona aibu kumfahamisha kwa jamii.
Unajua tusisahau swala la msingi la mapenzi, kulingana na mapenzi ya Mungu aliyetuumba mapenzi hakika ni kwa ajili ya wanandoa na lengo kuu ni kuzaa na kuijaza dunia, sasa unaposema mwanamke let say 46 yrs, wengine hata zile rangi za simba ziliishakata, na hata kama bado zinazunguka kiafya sio sahihi hata kushika mimba, japo nimeona sehemu unasema mambo ya technologia, hiyo kwa ni kuingilia mambo ya Mungu mwenye uweza pekee wa kuumba.

Ni kweli wapo wanaume tunaonekana wazee kama ulivyosema kwa tumbo la bia nk, lakini kazi zetu za msingi nadhani tunazifanya vema hata at the age of 60yrs nk, sasa huyu mama wa 46 yrs, hakika hawezi kupingana na nature, na kama atalazimisha basi ataishia kufa ama kuteseka sana kwa mimba nk.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,432
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,432 2,000
Thus way nimesema mapenzi yapokolea huwa yanakosa definition sahihi, unaweza ita upofu nk, lakini ndio hivyo tena.

Ila hapo kilichotakiwa ni kumukabalia tu huyo kijana kwa muda ili kumuepusha na huyo shetani/roho wa mauti, then unafanya utaratibu wa kumfanyia cancelling ili aweze kuondokana na huyo mama mtu mzima, maana akisha loea huko hata uwezo wa kuweza kutongoza mdada wa rika yake unapotea kama sio kupungua sana.

Huwezi jua shetani ana nguvu sana anaweza kujiua, hivyo umakini katika kumzuia unahitajika ili kuondoa madhara.

Na kwa mwanamke mtu mzima sijui anaona fahari gani kutembea na kijana mdogo sana kama mwanae ama mdogo wake wa mbali sana.
Vijana wengine wanakwenda kwa watu wazima kwasababu wametulia, wanasema vijana wenzao watawaletea VVU. Kwakweli ni swala gumu, lakini kama ni swala la uchumi, basi vijana wajue wanapoaacha wamama wa watu wanakuwa disappointed.
 
A

Alex Katto

Senior Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
155
Points
0
Age
26
A

Alex Katto

Senior Member
Joined Mar 3, 2013
155 0
Na mnasemaje mwanamke akimzidi mpenzi wake miaka minne??
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,432
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,432 2,000
Na mnasemaje mwanamke akimzidi mpenzi wake miaka minne??
Yah nilitaka kujua ni umri gani basi mwanamke anaweza akawa amemzidi mpenzi wake, 10, 5, 2 lakini inaelekea wazazi wa kwetu wanategemea mwanaume akuzidi miaka 10, 5, 2 .
 
B

bibi.com

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
1,154
Points
1,225
B

bibi.com

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
1,154 1,225
Even me cpendezwi kabisa
mahusiano ya ivo. Bora mpishane walau mwaka 1 au miez au hata miaka
miwili ingawa sio saana.Kwanza wanawake wanawahi kuzeeka kuliko
wanaume.Mimi nachukia sana mahusiano ya mwanamke kumpita mwanaume umri
mkubwa sawa na mama yake mzazi,yaan hata mkiongozana unaonekana uko na
mama ako kumbe ndo mkeo huyo.Haipendezi
kuzeeka kwa wanawake ilikuwa ni zamani wakat walikuwa wanazaa sana na kufanya kazi kama mapunda ila kwa sasa mwanamke akizeeka mapema kataka mwenyewe!
 
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
936
Points
1,000
wehoodie

wehoodie

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
936 1,000
hakuna tatizo lolote zaidi ya mtazamo yabisi wa jamii haswa za kiafrika. nadhani mme ukizidiwa umri unafundishwa mengi katika maisha na mke alio kuzidi.

mfano Ashton Kutcher na Demi Moore, Nick Cannon& Mariah Carey, David &Victoria Beckham, Jlo &Casper, Jaffarai &Bhanji etc......sio kweli kila tulichokikuta kinafanywa na vizazi vya zamqni ni sahihi. Anza kutafuta mke aliekuzidi hata miaka 2 au mume ulimzidi hata miaka 5 tu.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,432
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,432 2,000
hakuna tatizo lolote zaidi ya mtazamo yabisi wa jamii haswa za kiafrika. nadhani mme ukizidiwa umri unafundishwa mengi katika maisha na mke alio kuzidi.

mfano Ashton Kutcher na Demi Moore, Nick Cannon& Mariah Carey, David &Victoria Beckham, Jlo &Casper, Jaffarai &Bhanji etc......sio kweli kila tulichokikuta kinafanywa na vizazi vya zamqni ni sahihi. Anza kutafuta mke aliekuzidi hata miaka 2 au mume ulimzidi hata miaka 5 tu.
Well said,

Familia za Africa si unajua maamuzi ya maisha yako ni swala la baba na mama, shangazi na mjomba na baba mdogo na binamu. Mawifi watakuchekea behind your back una majina kama 'kikongwe', 'bi kizee'.
 
H

Hassan Nassor

New Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
4
Points
0
Age
24
H

Hassan Nassor

New Member
Joined Jun 11, 2013
4 0
Kumsichana nampenda sana kwetu wamekubali wesema nimuoe lakini nikimwambia nimuoe anakataa anasema awezikuolewa na mimi kwa sababuananizidi. (ananizidi miaka mitatu) lakini nampenda sana anaitwa suzy nae anasema akuna mvana anaempenda tofauti na mimi. Je nifanye nini na nina mpenda
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
33,432
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
33,432 2,000
Kumsichana nampenda sana kwetu wamekubali wesema nimuoe lakini nikimwambia nimuoe anakataa anasema awezikuolewa na mimi kwa sababuananizidi. (ananizidi miaka mitatu) lakini nampenda sana anaitwa suzy nae anasema akuna mvana anaempenda tofauti na mimi. Je nifanye nini na nina mpenda
Hassan Nassor labda Suzy anasita kwa tofauti ya dini zenu, jaribu kumuuliza ujue kwa kina sababu inayomfanya asite, kama wewe na wazazi wako hamna matatizo ya kuwa amekuzidi umri.
 
Forum statistics

Threads 1,283,719
Members 493,764
Posts 30,798,544
Top