Kwanini Mozambique tunaiita Msumbiji?

Kwanini Mozambique tunaiita Msumbiji?

ni muhimu sana kufahamu vitu kama ivi hasa kwa wale jamaa zangu waongoza watalii unaweza kukutana na maswali kama haya alf ukaanza kutoa macho
 
Ivory Coast in English, Côte d'Ivoire in French na Pwani ya Pembe in Swahili Inategemea na lugha unayotumia
 
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?

mimi hapo kwenye marekani naweza nikajaribu:
. .. kuwa USA inaitwa america, hivyo nadhani kwa kiswahili ikawa "umarekani", kama ambavyo labda tunasema Uhindini, au umasaini.... halafu baadae tukaja kufanya marekani
 
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.

Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?

Misri - Egypty

Marekani - USA

yalitoka wapi?

Ama kweli uwezo wa watanzania kufikiri uko chini mno mno! Hujui kila lugha ina maneno yake? Ungeuliza basi na kwanini oil inaitwa mafuta au mountain unaitwa mlima au a human anaitwa mtu! Huu ni upuuzi uliopindukia!
 
Code:
Nadhani kwa USA,Msumbiji na Egypt, matamshi ya majina asilia yame influence kwa kiasi kikubwa tafsiri/majina ya kiswahili

aMERICAN=MAREKANI?
Mocambique (matamshi ya kireno yanakaribia "mosambiki")= msumbiji?
Egypt matamshi ya jina lake la kiarabu yanakaribia "musri" au "masri" = misri?
 
Mbona na sisi tunaiita nchi yetu kama Bongo, na mpaka muziki wa kizazi kipya unaitwa Bongo Fleva.
 
Mbona haya mambo mengine yanaturudisha chekechea wakati tunafanya PHD?

unajuwa kwamba wafaransa nchi yetu wanaiita TANZANIE?

Labda bora Ungeuliza kwa nini England na UK zote ni Uingereza ningeona mantiki yako.

afadhali Tanzanie zinaendana kidogo... unaweza kukubali lakini from egypt to misri nadhani tuna kitu cha kujiuliza hapo..
 
David = Daudi

Moses = Musa

England = Uingereza

Spain = Hispania

Portugal = Ureno

Germany = Ujerumani

Turkey = Uturuki
 
Ureno - portufal
Hapa panataka elim kidogo tofauti na tanzania kuiita tanzanie
Lazma utueleze etimologicaly hil neno lilitokea wapi sio unatuletea mbwembwe
 
Ama kweli uwezo wa watanzania kufikiri uko chini mno mno! Hujui kila lugha ina maneno yake? Ungeuliza basi na kwanini oil inaitwa mafuta au mountain unaitwa mlima au a human anaitwa mtu! Huu ni upuuzi uliopindukia!

Inaelekea uwezo wako wa kufikiri uko chini sana japo hilo uwezi kuliona pia mifano uliyotoa ni irrelevant.
 
Ama kweli uwezo wa watanzania kufikiri uko chini mno mno! Hujui kila lugha ina maneno yake? Ungeuliza basi na kwanini oil inaitwa mafuta au mountain unaitwa mlima au a human anaitwa mtu! Huu ni upuuzi uliopindukia!

Umeona eeeehhh nidai 'Pick N Peel' juice
 
Back
Top Bottom