wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
sio msumbiji ni nchumbiji
Uwezi = HuweziInaelekea uwezo wako wa kufikiri uko chini sana japo hilo uwezi kuliona pia mifano uliyotoa ni irrelevant.
Kamaa unaona kero kuiita Msumbiji basi iite Msambinungwa!
Niliwahi kuwa Mozambique kule kuna watu walishangaa nilipowaambia kuwa nchi yao tunaiita Msumbiji japo kuna wamakonde wa Msumbiji wale wa mpakani na Tanzania wanalijua jina hili ila majority hawalijui wao wanajua Mozambique.
Sasa hili jina Msumbiji lilitoka wapi?
Misri - Egypty
Marekani - USA
yalitoka wapi?