Hili tu ndio nchi masikini wanaliwezaAchwe afunge aone, CCM watasema SIYO MTANZANIA, na ataondolewa yeye na ndugu zake. Account zake zitakuwa frozen, na mali zitataifishwa na kuuzwa kulipia madeni anayodaiwa.
Atapelekwa INDIA kwa kuongelea, chezea majambazi.
Viwanda vilivyomshinda kuendesha Ni vile vinavyo saga chai Kama Ambangulu, Dindira huko TANGA na vingine mby na Iringa. Hivi vya chai alivinunua kutoka kwa wazungu.
Viwanda vyake alivyojenda Ni Kama Nicola, Mo energy, Cha ngano na kile Cha mafuta ya alizeti, nimesahau na kile Cha maji ya kunywa.
Unambembeleza mtu wakati ameshahamia U.A.E. Ninashangaa serikali inahangaika na waarabu na kukopa nje wakati kuna watanzania kibao wanauwezo wa kuwekeza. Kipi bora kumpa mtanzania ambaye anaishi hapa nchni au kumpa mtu wa nje. Tanzania tuna matajiri kibao ambao hata sio maarufu kuanzia Iringa,Niombe, Kahama, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha. Dola haipatikani kwa sababu nchi imeshikiliwa na watu wasio watanzania. Na cha kushangaza wenye mamlaka hawataki kuwapa fursa watanzania.Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye kiwanda hicho.
Lakini swali letu ni hili, kwanini MO amefikia hatua ya kufunga kiwanda chake alichojenga kwa gharama kubwa na kufunga mitambo ya kisasa? Kuna nini?
Swali jingine ni hili, kwanini jambo hili lishughulikiwe na Wizara ya kilimo badala ya Wizara ya Viwanda?
======
Serikali imegoma kuridhia ombi la kufungwa kwa Kiwanda cha chai cha Mo Enterprises na Viwanda vingine kadhaa Nchini ili kuepusha athari ikiwemo Watu kupoteza ajira.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe akiwa Dodoma leo, amesema kama Wawekezaji wana changamoto yupo tayari kujadiliana nao ili kuzitatua huku viwanda vikiwa vinaendelea na uzalishaji.
“Nimepokea barua ya kampuni ya Mohamed Enterprise kutaka kufunga Viwanda nimewaambia hawawezi kufunga viwanda, tujadiliane njia nyingine lakini sio kufunga kwasababu kwetu bado sekta ya chai bado ni muhimu kwa ajira za Watu, binafsi naamini nikienda Rungwe kama Wakulima wangekuwa hawana mazao mengine umasikini ungekuwa mkubwa mno kwa hali ya chai ilivyo, Lupembe, Mafinga, Mufindi kote hali ingekuwa mbaya”
“Nimepokea maombi ya MO kuja kwetu Serikali kwamba Serikali tuyachukue mashamba (ili kuyaendeleza) tutaunda Timu itaenda kuyakagua tutaangalia thamani halisi ya wakati huu kwasababu hayakutunzwa vizuri mashamba wala vile Viwanda kwa muda mrefu sana kwahiyo tutaangalia njia zote lakini sekta ya chai itaendelea kuwa hai, nimeagiza hakuna kufunga kiwanda lazima waendeele na uzalishaji hilo ni la lazima kisha tutakaa chini kujadiliana mambo mengine”
“Nawahakikishia ninaendelea na majidiliano na Wizara ya Fedha ili tuwe na njia bora kupima viwango vya tozo, nimeongea na Waziri wa Uwekezaji ili hivi viwanda vipate nafuu ya kodi ya kuagiza nje kwasababu kama tunampa Mtu wa Export sehemu nafuu ya kodi, ukitazama sekta ya chai kwa ujumla bidhaa zake zinahusisha kusafirisha nje”
“Nimekaa na Timu ya Wataalamu imenifanyia uchambuzi wa bei ya majani mabichi ya chai, kwa namba inatakiwa bei ishuke lakini nimewaambia bei ya Mkulima haitoshuka tuta-mantain bei ya mwaka jana” —— amesema Waziri wa Kilimo
Inawezekana ikawa dili inachezwa, inawezekana isiwe dili.Hapo ni dili inachezwa mkuu
Kuna tofauti kati ya mtu kulazimishwa asifunge kiwanda na serikali kumuomba mtu asifunge kiwanda, wakafanya mazungumzo kiwanda kisifungwe.Yes. Morogoro kuna kiwanda Mweshimiwa Rais Aliongea na Wamiliki wake wakarudi na kukifunguwa hicho kiwanda na mpaka sasa kipo kinafanya uzalishaji.
Kwani lazima chai anunue Mo?MO angeuza tu kiwanda kama labda hapati faida. Hana haja ya kukifunga coz economically wananchi watauza wapi chai yao?
Kwani Mengi alikuwa ananunua chai?Watanzania wanakulilia...Reginald Mengi.
MeTL Group ina mashamba matatu ya chai katika mikoa miwili tofauti yenye hekta 2,350 za chai iliyopandwa na hekta 1,200 chini ya kilimo cha mkataba kwa wakulima wadogo.
Asilimia 95 ya chai inayozalishwa inauzwa nje ya nchi moja kwa moja au kupitia Mnada wa Mombasa katika nchi jirani ya Kenya, na iliyobaki huuzwa kwa wachanganyaji wa ndani.
Viwanda vipya 3 vya chai vyenye laini 5 za mashine za CTC na laini 1 ya mashine ya chai ya asili yenye uwezo wa kusindika wa kilo 250,000 za majani mabichi kwa siku. Viwanda hivyo ni: Mlima wa Arc na Dindira wilayani Korogwe na Chivanjee wilayani Rungwe. Uzalishaji wa chai ya ubora wa hali ya juu kutoka kwa majani mabichi yaliyovunwa kama inavyopendelewa na wachanganyaji na wapakiaji wengi wakuu kote ulimwenguni wanywaji chai katika viwanda vyetu vitatu, hapo juu.
Chai inayozalishwa katika viwanda hivi hupandwa kwenye udongo wenye madini mengi kwenye mwinuko. Mvua za misimu miwili kwa mwaka hunyesha kwa kipindi cha karibia miezi yote na kuwezesha uzalishaji wa majani mabichi mwaka mzima katika mashamba yetu ya chai.
Zahanati za Kikundi za matibabu zina wafanyikazi wa matibabu waliofunzwa, ambao hutoa huduma ya afya kwa familia za wafanyikazi na jamii za jirani, ambazo zinaishi katika maeneo ya mbali. Mpango wa Mama na Mtoto ni msingi wa utunzaji wa afya ya familia.
Mashamba ya chai huwapa wanawake katika jamii jirani vyanzo salama, visivyobagua, vya mara kwa mara na endelevu vya mapato, pamoja na vituo vya kulelea watoto mchana na shule za msingi kwa watoto wao.
More info :
Tanzania’s largest home-grown company, with a presence in 11 countries in Africa, such as Uganda, Ethiopia Kenya, Rwanda, Burundi, Zambia, Mozambique, Malawi, DR Congo and Tanzania. LG Room Air Conditioners (RAC) External Training – MeTL Group
More info on Tanzanian tea :
View: https://m.youtube.com/watch?v=7Cq1NlwdwjA
Serikali aiwezi lazimisha Mtu ! Ni lazima kuwe na mazungumzo ya pande zotr husika based on win win Sitaution.Kwa hiyo MO atatoa Sababu na Serikali ikazisikiliza na kuja na majibu.Then The Govwrnment can Give MO an Offer Which He cant refuse😁Kuna tofauti kati ya mtu kulazimishwa asifunge kiwanda na serikali kumuomba mtu asifunge kiwanda, wakafanya mazungumzo kiwanda kisifungwe.
Tanzania tofauti hii inaeleweka?
zipi tena ?Mbona hutupi details chief
Bashe kibaraka katumwa na Mo atishie nyau Ila sio vizuri hilo take waziri Bashe anaharibu kwa hiyo statement kuwa mwekezaji ukiwekeza Tanzania huruhusiwi kufunga biashara serikali itakukomalia.Hiyo statement inatisha wawekezaji
Raisi amuondoe uwaziri
Kwamba Viwanda vya Private visipopata faida Serikali inaingilia kuviokoa kwa kutumia pesa ya mlipa Kodi vikipata faida mlipa Kodi kivyake....!!Nchi nyingine Viwanda vikisuasua Serikali huingilia kati kuviokoa ili kuokoa Ajira za Wananchi wake.
Shout out to Bashe huyu Jamaa namkubali sana.
Serikali kuanza ku negotiate na Mo tayari inaonesha uchumi mbovu.Serikali aiwezi lazimisha Mtu ! Ni lazima kuwe na mazungumzo ya pande zotr husika based on win win Sitaution.Kwa hiyo MO atatoa Sababu na Serikali ikazisikiliza na kuja na majibu.Then The Govwrnment can Give MO an Offer Which He cant refuse😁
Haya mambo ya kuuza Chai kuna Ukiritimba wa hali ya Juu..., Jaribu ku-export chai utasikia utitiri wa vibali yaani kuna Bodi ya Chai na yenyewe lazima uwasiliane nao ni balaa bin balaa katika hii songombingo yote mkulima sio mfaidika....., kwahio hata hio Chai akiuza Bongo ni kwa bei ya kutupa..., akitaka apeleke nje atapewa utitiri wa vibali itabidi ashindwe kabla hajaanzaMO angeuza tu kiwanda kama labda hapati faida. Hana haja ya kukifunga coz economically wananchi watauza wapi chai yao?
Obtain tea processing licence (8)expand_less
1Register and apply for licence
language
2Obtain payment control number
3Pay for tea processing licence
4Obtain TBT receipt
5Obtain provisional green leaf processing licence
language
6Inspection of premise
7Inspection for quality end product
8Obtain green tea processing licence
language
Obtain green leaf tea buying licence (2)expand_less
9Register and apply for licence
language
10Obtain green leaf tea buying licence
language
Obtain tea export permit (2)expand_less
11Register and apply for tea export permit
language
12Obtain tea export permit
language
Obtain certificate of radioactivity analysis (4)expand_less
13Apply for certificate of radioactivity analysis
language
14Pay and obtain sample label
language
15Submit samples
16Obtain certificate of radioactivity analysis
language
Pre-clearance documentation (3)expand_less
17Contract a clearing agent
★Obtain TRA assessment documentOPTIONAL
language
18Book shipping space with shipping line
Obtain phytosanitary certificate (4)expand_less
19Register and apply for certificate
language
20Pay fees
language
21Consignment inspection
22Obtain phytosanitary certificate
Obtain EAC certificate of origin (5)expand_less
23Obtain online user credentials
language
24Verification of goods
25Apply for certificate of origin
language
26Pay certificate fees
language
27Obtain certificate of origin
Custom declaration (2)expand_less
28Lodge custom documents (TRA)
language
29Obtain Tanzania Single Administrative Document (TANSAD)
language
Consignment inspection (2)expand_less
30Request for consignment inspection
31Consignment inspection and stuffing
Obtain TRA release order (2)expand_less
32Submit stamped documents
language
33Obtain release order
Port clearance (5)expand_less
34Lodge cargo clearance documents (TPA)
language
35Pay port charges
36Create truck or driver announcement
language
37Obtain gate in ticket
38Obtain gate out permission
Sio Financial tu Serikali inaweza kuvipunguzia Ushindani kwa kuvilinda na Bidhaa zilizoruzukiwa kutokea Nje kwa mfano Chai kutoka Kenya na Uganda inayoingia kiholela kwa njia za Panya kuongeza Kodi kwenye Chai inayotoka nje nk.Kwamba Viwanda vya Private visipopata faida Serikali inaingilia kuviokoa kwa kutumia pesa ya mlipa Kodi vikipata faida m
Sababu ni ajira alizozitengeneza lakini pia mapato Kwa maana ya Kodi.Kwa hiyo mtu anaweza kulazimishwa kuendesha viwanda hata kama yeye anataka kufunga viwanda vyake?