Foul
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 798
- 1,176
Kama samak sio, ukizama baharin samak wanaanza na macho kwanzaUna moyo
Ana majina mengi kama vitu anavyokula maana hujui hata akisikia njaa next meal yake itakuwa matope au mzoga au hata mguu wa mtu
Kama samak sio, ukizama baharin samak wanaanza na macho kwanzaUna moyo
Ana majina mengi kama vitu anavyokula maana hujui hata akisikia njaa next meal yake itakuwa matope au mzoga au hata mguu wa mtu
Chochote kibaya lazima kiwe na majina mengi
Rejea mwizi, uzinzi, na wengine ambao wanapewa majina mengi
Mpumbavu huyu ax A ujinga
abubakar...Nguruwe
KitiMoto
Noah
Mbuzi Katoliki
Meza Kubwa
Mdudu
Tena waislamu waliobobea sio waislamu wa TarimeNgamia hana kwato lakini binadamu anakula bila kelele.
Lakini ujumbe umefikaNafuliA hilo povuu hahaha[emoji75][emoji75]
Hivi unajua allah ana majina mangapi ?
Wakati mwingine mtumie bongo zenu kidogo
Tena kama bata ni kchafu balaa lakini kama kawaidaKuku hula KINYESI cha binadamu lkn habari unaijua huliwa nae na wali
Naskia dini pinzani walimpa hilo jina la MBUZI katoriki
Ila ngamia sio najisiNguruwe hata biblia imesema ni najisi. Nani anaependa kuitamka najisi kila wakati?
Hata mavi ni najisi, ni nani anaependa kuyatamka kila wakati?
Kinyaa.
Huyo ni mnyama mkorofi sana,pia nasikia mfupa wake unafukuza majini,Habari wana JF! Naomba kuuliza kuhusu huyu mnyama.Kwanini huyu mnyama anapewa majina mengi mengi mara kitimoto, mara mbuzi katoliki, mara mdudu. Sasa mimi najiuliza nini hasa kimo ndani huyu kiumbe mpaka anafichwa fichwa watu kujua kama jana lake halisi lilivyo NGURUWE. Mbona mbuzi, kondo, ng’ombe hawapewi majina tofauti tofauti kama huyu kiumbe nini hasa kipo kweny mnyama huyu. Halafu nimesikia nguruwe jike anaenda hedhi kama binadamu mwanamke hivi kisayansi imekaaje hii kuweza kumtumia kama chakula?
...faranga, chapaa, njuru, mshiko, mtonyo, mchuzi, mkwanja,.....nkKitu chochote chenye kuhitajika kwa sana katika maisha yetu ya kila siku daima kina maji mengi. Rejea pesa,hela,noti,ndururu,n.k n.k