Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
- Thread starter
- #21
Nini kinatokea, au inazawaliwa minyoo maana inasemekana ina minyoo yakutosha ile nyama. Halafu inasemakana ngururuwe anakula mpaka mtoto mchanga akikaa vibay
Kama unataka kujua UHARAMU wa ngurue chukua nyama ya ngurue mbichi ingiza kwenye kibakuli thn ichanganye na pure Coca-Cola alaf iache, baada ya saa 1 utakachokikuta humo ndani kitakupelekea maisha yako usimle huyo ngurue kama kweli unajali afya yako