Kwanini mnyama nguruwe anapewa majina mengi?

Kwanini mnyama nguruwe anapewa majina mengi?

wakiumeni tunaita code!!

mdudu haahaaaa
 
Mi silagi kitimoto

Sio sababu ya dini
Sio sababu ya matatizo ya kiafya
Sio sababu ya miiko

Ni kwasababu sina pesa tu
We jamaa fala sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Anapewa majina mengi kwa lengo la kuficha utambulisho wake ili hata wengine Waite na kuhudumiwa bila kuwa najisi na kushtukiwa.
 
Kama unataka kujua UHARAMU wa ngurue chukua nyama ya ngurue mbichi ingiza kwenye kibakuli thn ichanganye na pure Coca-Cola alaf iache, baada ya saa 1 utakachokikuta humo ndani kitakupelekea maisha yako usimle huyo ngurue kama kweli unajali afya yako
Umefanya ivo kwa nyama zingine pia,au ume mtarget nguruwe tu!
 
Kitu chochote kinacho pendwa na upande mmoja wa kundi na kupigwa vita na upande mwingine lazima hicho kitu kitakua na majina mengi ni kama bangi, gongo, miraa pamoja na yule binadam kimbelembele pamoja na baba yake mlezi nk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom