Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 771
Habari wana JF!
Naomba kuuliza kuhusu huyu mnyama.Kwanini huyu mnyama anapewa majina mengi mengi mara kitimoto, mara mbuzi katoliki, mara mdudu.
Sasa mimi najiuliza nini hasa kimo ndani huyu kiumbe mpaka anafichwa fichwa watu kujua kama jana lake halisi lilivyo nguruwe.
Mbona mbuzi, kondo, ng’ombe hawapewi majina tofauti tofauti kama huyu kiumbe nini hasa kipo kweny mnyama huyu.
Halafu nimesikia nguruwe jike anaenda hedhi kama binadamu mwanamke hivi kisayansi imekaaje hii kuweza kumtumia kama chakula?