Kwanini mnyama nguruwe anapewa majina mengi?

Kwanini mnyama nguruwe anapewa majina mengi?

Binadamu anaponogewa na kitu hukipa majina tofauti tofauti. Ukiacha nyama ya nguruwe mfano mwingine ni ile nyama nyingine ya binadamu (MBUNYE)....
 
Subir waje wenye takbiriiii yao
Haramu kwako wewe na dini yako

Usiite alichokiumba MUNGU haramu

Una mamlaka hio eti kiumbe kinaita kiumbe kingine haramu

Haramu ni uchafu unaokutoka rohoni mwako ,kama vile chuki,uasherati,choyo,usengenyaji,ul vi,ulafi N.k

Shubamiiit

Siku ukijaribu mbuzi katoliki hutorudi Rivasi kwa utamu wake[emoji2]

Takbirrrrrrr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom